passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Asingeweka tozo za ovyoovyo,angetafuta mafuta cheap kutoka Russia,angezuia vyakula kusafirishwa nje ya nchi hivyo kutokuongezeka Kwa bei ya vyakula.sasa hivi yote Haya yanatokea Kwa sababu ya uongozi dhaifu wa Rais samia.acha chuki zisizokuwa na maana.Kwa watetezi wa Magufuli najua mna hisia kali sana, lakini hebu jaribuni kujibu hoja kwa hoja, sio matusi
Hebu niambieni ni mambo gani Magufuli angefanya au alishafanya ambayo yangeshusha bei za vitu
Point alafu kwanini tumkisie ange fanya hivi au inge kua hivi wao ndio walikua wanamuongoza au ndio elimu zetu za kukariri na kubet (siidharau elimu ila nina mashaka na tunaotafuta elimu)Asingeweka tozo za ovyoovyo,angetafuta mafuta cheap kutoka Russia,angezuia vyakula kusafirishwa nje ya nchi hivyo kutokuongezeka Kwa bei ya vyakula.sasa hivi yote Haya yanatokea Kwa sababu ya uongozi dhaifu wa Rais samia.acha chuki zisizokuwa na maana.
FoolishMagufuli angekuwa madarakani bidhaa zingekuwa juu zaidi au kukosekana kabisa.
SafiHuyu Magufuli naanza kuona licha ya kutawala kwa muda mfupi, lakini anaonekana ndie ataongoza kutawala vichwa vya wengi zaidi ya marais waliopita.
Ukiuliza kwanini anasemwa hivi, utajibiwa lazima asemwe kwa mabaya yake, naona wajinga siku hizi wanajificha kwenye kivuli cha ubaya wa Magufuli, ili wao waonekane/wajione watakatifu, huku ni kujidanganya tu.
Magufuli hakuwa malaika, lazima kama mwanadamu wa kawaida alikuwa na mazuri na mabaya yake, lakini kwa baadhi hili hawalioni, wao kwao Magufuli alikuwa ni shetani tu, this is insanity & mental slavery.
Nikitizama vizuri hoja za mleta mada, naona ameamua kulaumu kwa kujua/kutojua, ili aendeleze tu kasumba ya kumsema vibaya Magufuli.
Mfano, anazungumzia sakata la sukari 2016 lililosababisha bei ya bidhaa kupanda, analaumu uamuzi wa Magufuli kuzuia uagizwaji wa sukari toka nje, kwamba huo ndio ulisababisha bei ya sukari kupanda.
Kwangu haya ni mawazo ya mtu anayefikiria kwa upande mmoja tu, tena negatively; kwasababu kama angeamua kufikiria positively ule uamuzi wa Magufuli kuzuia sukari toka nje, naamini angepata jibu zuri tu, kwamba alikuwa ana promote viwanda vyetu vya ndani, na kukuza ajira.
Pambaneni na wakati uliopo. Mnaanza kumkumbuka wakati hayupo. Amegoma kufa.Hata yeye angekuwepo bei bado ingekuwa juu. Kwa taarifa yako mafuta ya kula yalianza kupanda wakati wake baada ya yeye kuvuruga soko la mafuta. Usidhani kuwa tumesahau alipojifanya anapiga marufuku mafuta toka nje. Toka wakati huo mpaka leo hayajawahi kushuka. Sukari ilipanda bei akawa anatumia kina Makonda kupitia kwenye godowns za wafanyabishara. Sasa hivi hali ndio ingekuwa mbaya zaidi. Bora Mungu aliingilia kati.
Pambaneni na wakati uliopo. Mnaanza kumkumbuka wakati hayupo. Amegoma kufa.
Nonsense,😎Na tozo watu wangelipa na hakuna wa kunyanyua mdomo..
Ujue mkiwa na Rais mwenye kiburi huwa ni disaster,imagine ndani ya miaka yake 5 mafuta ya magari yaliwahi adimika mara 2,sukari mara 2 na saruji mara 1 na hakukuwa na balaa kama za Uongozi wa Sasa..
Mwendazake angekuwepo Hali ingekuwa mbaya na angekuwa katili zaidi akiogopa kupinduliwa.
Sasa unapofunga mpaka ni kwa manufaa ya nani? Yaani mkulima alime kwa mahangaiko afu umpangie bei ya na pa kuuza? Mkulima kwa sasa analamba asali, mazao yamepanda bei ko wanaokaa mijini bila kupambana lazma walie. Mfano ndizi zilifikia hatua hata mnunuzi hayupo zinaozea mashambani, Leo mkulima wa Businde Kyerwa anafuatwa na mnunuzi shambani mkungu unaanzia elfu tano. Hapo mkulima utamwambia nini zaidi ya Samiah alofungua mipaka.Huu ni ujinga mkubwa, ingekatisha tamaa watu kulima kwa kuwa soko likiwa zuri wanazuiwa
Afadhali serikali ya Samia inanunua mahindi ya akiba na kuyatoa kipindi ambacho kuna uhaba, kitu ambacho Magufuli alisema ni ujinga
Kama aliweza kushusha bei za umeme, maji na bidhaa za vyakula ikiwemo mchele, unga nk, hizo tozo zingepitia mlango upi? kwa akili yako unafikiri wazo la kuleta tozo limeibuka juzi tu, lilikuwepo toka enzi za Magu, kwanini lianzishwe mara tu baada ya Magu kuondoka?Na tozo watu wangelipa na hakuna wa kunyanyua mdomo..
Ujue mkiwa na Rais mwenye kiburi huwa ni disaster,imagine ndani ya miaka yake 5 mafuta ya magari yaliwahi adimika mara 2,sukari mara 2 na saruji mara 1 na hakukuwa na balaa kama za Uongozi wa Sasa..
Mwendazake angekuwepo Hali ingekuwa mbaya na angekuwa katili zaidi akiogopa kupinduliwa.
Nyie watu hata waume zenu wakishindwa kusimamisha ili wawapande mtamsingizia Magufuli
Usihangaike na mtoa post, kwani muda wote anafikiri kwa kutumia masaburi.Sasa jina la magufuli limeingiaje hapo?
20,000 ya Kitambulisho Cha Machinga ilipitia mlango gani?Kama aliweza kushusha bei za umeme, maji na bidhaa za vyakula ikiwemo mchele, unga nk, hizo tozo zingepitia mlango upi? kwa akili yako unafikiri wazo la kuleta tozo limeibuka juzi tu, lilikuwepo toka enzi za Magu, kwanini lianzishwe mara tu baada ya Magu kuondoka?
Yaani wewe comments zako zote hua naishia kucheka..dah😆Kuanzia kwenye kichwa cha habari hukuliona?
Hebu tuambie kama babako amefariki na leo angekuwepo angefanya nini kwa familia yenu?.Angefanya Nini kwa mtetemo huu uliokumba Dunia?