Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

hizo posho za anasa huyo Mramba wako alikuwa haizijui?
 
IPO siku magufuli atajitumbua naye mwenyewe,,hizi tumbuatumbua zake zimekuwa kero,,,yeye mbona anafanya maamuzi YAKE binafsi ambayo yanaliyumbisha taifa na watu wanamvumilia ,,asitafute umaarufu kwa kuwaonea waliochini
 
Waziri hashauriwi na Mramba isipokuwa Bodi!!
 
Figisu zinaendelea,naona ulipanda toka zamani tu,ukijumlisha ghalama za VAT,Eura,na makorokoro mengine utakuta 22/% ya kila unaponunua umeme inarudi kwao wewe unapata 78% ya pesa yako tu. Kweli ungu anawaona
 
Well said.Kuna watu nchi hii bado hawataki kukubali kwamba zama zimebadilika,ngoja watumbuliwe tu wameshatunyonya sana sisi masikini.
 
Hakuna mafisadi tanzania usirudie tena watakusikia
 
Hata kama utapanda lkn huu si wakati muafaka wakati sahihi ni jambo la muhimu. Nikupe mfano binti akipata mimba nje ya ndoa kwa family nyingi za kitanzania ni tatizo lkn mimba ile ikipatikana ndani ya ndoa ni chereko. Timing ni muhimu pia.
Ckubaliani na wewe mi nasema ni hela tu hebu kuwa na pesa chafu halafu mtie mtoto wa watu mimba kama hata polisi utapelekwa, yaani familia yake wakisikia tu profile yako wanaanza kumpongeza binti yao then unakuja kuchukua binti jumla
 
1. Yule jamaa hapokei cha juu hats siku moja
2. Ni mkweli na mcha Mungu.
3. Alikua anawazibia ulaji.


Unaongelea kuhusu nani? Unafikiri kila mtu anamjuwa "yule jamaa"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ckubaliani na wewe mi nasema ni hela tu hebu kuwa na pesa chafu halafu mtie mtoto wa watu mimba kama hata polisi utapelekwa, yaani familia yake wakisikia tu profile yako wanaanza kumpongeza binti yao then unakuja kuchukua binti jumla
Watanzania wangapi wanapesa? Ongelea majority sio minority
 
Mabadiliko ya kweli nchii hii ni mpaka pale CCM watakapotoka madarakani.Haya yote ni maigizo tu na wala hakuna la maana hapa wanalolifanya.
Alafu kiingie chama gani?......cdm siku hizi hawaaminiki tena hawana siasa za kimkakati zaidi ya kutafuta kiki.....bora wezi wa zamani kuliko wezi wapya
 
JK anawasilimia makamanda anasema yeye yupo kawamiss sana.
MMMMMM arudishe Simbatrust na IPTL maana anahujumu uchumi kweupe!! Ipo siku patakuwa hapatoshiii
 
Hakuna kitu rahisi duniani kama kutawala nchi ya Tanzania wenyewe population ya watu 50+ na ukubwa wa mita mraba zaidi ya 900,000 tena yenye mito na vijito visivyo idadi,maziwa makubwa Africa, mbuga za wanyama zenye kusifika duniani na madini ya aina mbalimbali, gesi,mafuta na zaidi ya yote watu masikini waliojaa unafiki na kutojitambua thamani yao.
 
Kafanya vyema maisha magumu bado umeme upande na umeme ndo kila kitu ukipanda na bei za vitu zitapanda somo Kwa watendaji ni vyema kabla hawajafanya maamuzi yeyote wawe wanamshirikisha mwenyewe atoe Baraka zake kinyume cha hapo watakuwa wanatumbuliwa tu inatakiwa wajifunze,Tanesco wanasoko kubwa sana na halina mpinzani cha msingi wangejitahid wasambaze umeme ili wengi wapate Kwa bei ndogo kisha wakusanye zaid kuliko kuwapandisha gharama za umeme, pia Tanesco na huduma za gesi wangeondolewa kodi ili bei ziwe chini tunusuru misitu yetu hii kiduchu iliyobaki iwe ni rahisi kutumia umeme na gas kuliko mkaa na kuni.
 
Huwezi kuacha watu wavunje sheria ili tu hatimae upate sababu ya kutumbua... this's totally administrative failure!
Kwani mmesahau zile sherehe waliachwa wakachukua posho za safari wakaweka magari mafuta na kusafiri ilipofika usiku tukatangaziwa sherehe hakuna na waliochukuwa posho wazirudishe tuko kwenye mwendo KASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…