Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala zima hapa ni tubadilike na Rais amekuwa akituma ujumbe kwa njia hiyo ila naona hatutaki kibadilika...
Bado tumeishikiria jana hatutaki kuiachia...ila mwendo wa Rais uwe huohuo walau after few years tutakuwa tumenyooka
mwizi akishikwa na vithibitisho hakimu wa nini sie huku mtaani najua unajua tanafanyaga niniHii serikali mbona inafanya watu wote kama hatuna akili. kuhusu kupandisha kwa bei mbona EWURA waliweka kila kitu public?? Kwann serikali isiingilie kati toka wakati ule???. Yan Jan Mos imefika maamuzi ya mlipulipuko yanafanyika as if ndo serikali yote imejua jana kwamba bei ya umeme itapanda. Hapa ndipo serikali ya Mtukufu Rais inapopofanya siasa wakati ndugu zangu wa Upinzani wanapigwa mikwara kila leo. Hiz ni siasa uchwara.[HASHTAG]#SerikaliYaMilipuko[/HASHTAG].
Unapo pandisha umemeKosa ni kwanini amependekeze kupandisha umeme??
Hivi ndg akija mtu mwenye njaa akaleta ombi LA kupewa chakula na wewe ukampa hicho chakula ambacho nilikua cha watoto, Je hapo nani mwenye makosa? Je ni mwenye njaa aliye kuja kuomba au ni yule aliyetoa?Kiufupi Mzee hataki masihara....na ni kiashiria kwamba hajachoka kujenga nidhani na uwajibikaji serikalini.
Haijarishi ni siku gani ukiboronga mzee hakuachi. Unakula sikukuu vibaya.
EWURA si shida kivile, tatizo kuu ni TANESCO-ubunifu mdogo.Mhhh utumbuaji huu ila wa ewura naona kapona
Natural justice! Sheria ya historia, siyo mimi!Kwa maoni yako
Bado mudaIla Msigwa atakuwa keshaiva kwenye kuandaa barua za kutengua angeanza kumjenga na kwenye maeneo mengine
Huenda unamjua vzr hebu lete habari zake..... maana mtukufu ilimradi uwe unaitwa Dr au Eng
kamuulize MrambaHivi kosa ndio hilo la kuiomba EWURA ipandishe bei ili kuweza kujiendesha?au kuna mengine?
Asante MkuuMWINUKA NI VERY WEAK.HAWEZI KULETA MABADILIKO YANAYOTAKIWA KUAFNYA TANESCO KUWA COMPETETIVE.HAPA NI UGOLO WA MWAKA ..PIA SIAMINI KAMA SUALA LA GHARAMA ZA KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME NDO KISA CHA KUMUONDOA MKRUGENZI MKUU.. NADHANI NITAANZA KUKUBALINA NA MIMI KUWA MH RAIS ANATAKA KUONDOA WAKURUGENZI WOTE WA ENZI YA KIKWETE
Huyu ni muwanji wa makete if not mistakenMwinuka ni Mhaya? Siyo mtu wa Iringa au Mbeya?
The most probable reasonMWINUKA NI VERY WEAK.HAWEZI KULETA MABADILIKO YANAYOTAKIWA KUAFNYA TANESCO KUWA COMPETETIVE.HAPA NI UGOLO WA MWAKA ..PIA SIAMINI KAMA SUALA LA GHARAMA ZA KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME NDO KISA CHA KUMUONDOA MKRUGENZI MKUU.. NADHANI NITAANZA KUKUBALINA NA MIMI KUWA MH RAIS ANATAKA KUONDOA WAKURUGENZI WOTE WA ENZI YA KIKWETE
Tubadilike tuache kufanya kazi kwa mazoea ndio ujumbe wa mwaka mpya wa Rais...katuma salam kwa njia hiyo...Hivi ndg akija mtu mwenye njaa akaleta ombi LA kupewa chakula na wewe ukampa hicho chakula ambacho nilikua cha watoto, Je hapo nani mwenye makosa? Je ni mwenye njaa aliye kuja kuomba au ni yule aliyetoa?