Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Suala zima hapa ni tubadilike na Rais amekuwa akituma ujumbe kwa njia hiyo ila naona hatutaki kibadilika...

Bado tumeishikiria jana hatutaki kuiachia...ila mwendo wa Rais uwe huohuo walau after few years tutakuwa tumenyooka

Kabisa
 
Hii serikali mbona inafanya watu wote kama hatuna akili. kuhusu kupandisha kwa bei mbona EWURA waliweka kila kitu public?? Kwann serikali isiingilie kati toka wakati ule???. Yan Jan Mos imefika maamuzi ya mlipulipuko yanafanyika as if ndo serikali yote imejua jana kwamba bei ya umeme itapanda. Hapa ndipo serikali ya Mtukufu Rais inapopofanya siasa wakati ndugu zangu wa Upinzani wanapigwa mikwara kila leo. Hiz ni siasa uchwara.[HASHTAG]#SerikaliYaMilipuko[/HASHTAG].
mwizi akishikwa na vithibitisho hakimu wa nini sie huku mtaani najua unajua tanafanyaga nini
 
Mh sijui…… ninachompenda mlamba si mtu wa kufanya kazi kisiasa zaidi namuona ana hofu ya mungu na sidhani kama hili litamuumiza sana!
 
Kiufupi Mzee hataki masihara....na ni kiashiria kwamba hajachoka kujenga nidhani na uwajibikaji serikalini.

Haijarishi ni siku gani ukiboronga mzee hakuachi. Unakula sikukuu vibaya.
Hivi ndg akija mtu mwenye njaa akaleta ombi LA kupewa chakula na wewe ukampa hicho chakula ambacho nilikua cha watoto, Je hapo nani mwenye makosa? Je ni mwenye njaa aliye kuja kuomba au ni yule aliyetoa?
 
Bado Wa Ewura maana wanatukamua sana Hao watu ili wawalipe kina Seth Singh.
 
Mhhh utumbuaji huu ila wa ewura naona kapona
EWURA si shida kivile, tatizo kuu ni TANESCO-ubunifu mdogo.
Tushawashauli sana wasikimbilie kuomba bei iongezwe badala yake tuliwashauli wasimamie upotevu wa umeme na wakakusanye madeni ili wafidie gharama za uendeshaji.
 
Huenda unamjua vzr hebu lete habari zake..... maana mtukufu ilimradi uwe unaitwa Dr au Eng

MWINUKA NI VERY WEAK.HAWEZI KULETA MABADILIKO YANAYOTAKIWA KUAFNYA TANESCO KUWA COMPETETIVE.HAPA NI UGOLO WA MWAKA ..PIA SIAMINI KAMA SUALA LA GHARAMA ZA KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME NDO KISA CHA KUMUONDOA MKRUGENZI MKUU.. NADHANI NITAANZA KUKUBALINA NA MIMI KUWA MH RAIS ANATAKA KUONDOA WAKURUGENZI WOTE WA ENZI YA KIKWETE
 
Kauanza mwaka mpya vibaya.........pole yake. Na pia pongezi kwa Uncle Magu kwa kuonesha misimamo mikali dhidi ya hawa waleta hujuma!
 
MWINUKA NI VERY WEAK.HAWEZI KULETA MABADILIKO YANAYOTAKIWA KUAFNYA TANESCO KUWA COMPETETIVE.HAPA NI UGOLO WA MWAKA ..PIA SIAMINI KAMA SUALA LA GHARAMA ZA KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME NDO KISA CHA KUMUONDOA MKRUGENZI MKUU.. NADHANI NITAANZA KUKUBALINA NA MIMI KUWA MH RAIS ANATAKA KUONDOA WAKURUGENZI WOTE WA ENZI YA KIKWETE
Asante Mkuu
 
Amechelewa sana kumuondoa yaani hakustahili kuuona huu mwaka akiwa mkurugenzi mkuu.
Tanesco ina shida sana. Huwezi kuamini huu ni mwaka una kwisha Himo hakuna nguzo. Naomba mkurugenzi mpya nawe anza na meneja wa Kilimanjaro. Tumelipia service line huu ni mwezi wa saba hatuja fungiwa umeme ati tatizo nguzo.
Mbona walichukua hela zetu? Je tutalipwa riba???
 
MWINUKA NI VERY WEAK.HAWEZI KULETA MABADILIKO YANAYOTAKIWA KUAFNYA TANESCO KUWA COMPETETIVE.HAPA NI UGOLO WA MWAKA ..PIA SIAMINI KAMA SUALA LA GHARAMA ZA KUPANDISHA GHARAMA ZA UMEME NDO KISA CHA KUMUONDOA MKRUGENZI MKUU.. NADHANI NITAANZA KUKUBALINA NA MIMI KUWA MH RAIS ANATAKA KUONDOA WAKURUGENZI WOTE WA ENZI YA KIKWETE
The most probable reason
 
Hivi ndg akija mtu mwenye njaa akaleta ombi LA kupewa chakula na wewe ukampa hicho chakula ambacho nilikua cha watoto, Je hapo nani mwenye makosa? Je ni mwenye njaa aliye kuja kuomba au ni yule aliyetoa?
Tubadilike tuache kufanya kazi kwa mazoea ndio ujumbe wa mwaka mpya wa Rais...katuma salam kwa njia hiyo...

Hayo mengine sijui chakula cha watoto sio ujumbe wa mwaka mpya
 
Back
Top Bottom