othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
SO WHAT????Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.
Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika.
Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli city DodomaView attachment 1820820
Na amekufa vile vile. Hivyo nyimbo zao hazitamfufua.Wamuite tu vyovyote ila uhalisia utabaki ndiye rais aliyekuwa mkatili kuliko marais wote Tanzania.
Or...Mwendazake city
Kwani kila anayepotea ni raisi ndo kamchukua? Acheni unafiki twende na wakatiHivi azory na ben saa nane wako wapi?
Sasa sabaya ndo magufuli??Sabaya amekamatwa kwa kosa gani?
Kwani wewe utaishi milele?Where is he now? 🤣 🤣 🤣
You are a gentleman and a scholar!..Naunga mkono kuwepo kwa kumbukumbu za Magufuli.
..Wanaompenda Magufuli watafarijika kutokana na kufiwa kila wanapokutana na kumbukumbu yake.
..Wasiompenda Magufuli wakiona kumbukumbu zake watakuwa wanahakikishiwa kwamba mtesi wao amekufa hivyo nao watakuwa na furaha wakati wote.
Mait au kaburi zao ziko wapi km unaamini walishakufa?Alimuua Ben Saanane, Azory Gwanda, wale 300 wa MKIRU na alimuru Lissu ashambukiwe kwa risasi 16
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.
Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.
Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
Tulia wewe mzimu
ndiyo kwahiyo unasemaje na tushamfukiaNanyi mmeanza lini kuwacheka wafu!??? Au nyie ndio wauaji wake au waumbaji wa uhai au mna guarantee ya immortality!???
Vile viroba vilikuwa vinatupwa baharini na mto Ruvu vikiwa na miili ya binadamu hukuwahi kusikia au kuona kwenye vyombo vya habari?Mait au kaburi zao ziko wapi km unaamini walishakufa?
Hebu weka ushahidi ili tuufanyie Nazi. Vinginevyo nawe utakuwa mhalifu km wahalifu wengine tu.Alimuua Ben Saanane, Azory Gwanda, wale 300 wa MKIRU na alimuru Lissu ashambukiwe kwa risasi 16