Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Huyu mtu hayupo hatuna haja ya kumpenda au kumchukia! Inaelekea watu bado hawaelewi kama mwendazake keshaenda! Mada nyingine bwana!! Utapendaje au kuchukia kivuli?
 
Lakini flyover, ndege ,meli mpyaa hazijaenda
 
Duh, ulivyozaliwa wakafikiri wamepata mtu kumbe mfano wa mtu! Hizi akili si ni za ngedere kabisa!
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
Mkuu habari yoyote inayomuhusu mtu muuaji lazima watu waipe kipaumbele, wanatamani kusikia kama amekufa mara ya pili huko aliko lakini ndiyo hivyo tena
 
Unateseka sana
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
Yeye yuko kaburini. Angekuwa anatenda haki, kwa yote aliyokuwa anafanya angekuwa mtu wa maana sana. Kwa tuliyopitia, tunashindwa kumtafautisha na shetani.
 
Kwendraaaaa akili nusu. Hakuna raisi atafanya vitu jpm alivyofanya ndani ya miaka 5. Maendeleo aliyayafanya yatadumu milele.

Hakuna kitu samia atafanya kipya vyote jpm aliacha ashatengeneza nusu nusu.

Wewe bado katoto hujui kitu. Tumepoteza rais makini roho inauma.
 
Safi sana mkuu
 
Yeye yuko kaburini. Angekuwa anatenda haki, kwa yote aliyokuwa anafanya angekuwa mtu wa maana sana. Kwa tuliyopitia, tunashindwa kumtafautisha na shetani.
Flyover, ndege, zahanati elimu bure nazo ziko kaburini?
 
Duh! Katoto kana miaka 15 JF?!
Kama roho inauma, mfuate huko jehanamu.
 
Flyover, ndege, zahanati elimu bure nazo ziko kaburini?
Hivyo ni vitu, yeyote yule anaweza fanya. kwani ndio zahanati za kwanza nchini? Utu kwanza, hata tembo anaweza kunya jivi kubwa ukaliita flyover. Anyway, poleni sana washirika wa uovu.
 
Huo mji unakusaidioa nini unapoitwa magufuli, je, maisha yako yatabadilika au atafufuka?
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…