Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Kuna mambo ambayo nadhani hayako sawa:
1. Ni wajibu wa Mshauri kutoa uamuzi kuhusu maombi ya nyongeza ya muda bila shinikizo kutoka kwa client. Uamuzi huo ukipelekwa kwa Client kwa utekelezaji ndio anaweza kuukataa au kuukubali. Ni kama vile Mshauri anapofanya maamuzi ya kiasi gani mkandarasi alipwe hatakiwi kuangalia uwezo wa client kulipa.

2. Maombi ya nyongeza ya muda mara nyingi yanajumuisha pia athari zilizotokana kutokana na ucheleweshaji wa malipo yake. Na hii inaweza kuwa na impact kubwa sana. Kwa mfano, kuna vifaa ambavyo alivikodi lakini kutokana na ucheleweshaji wa malipo ilibidi avirudishe kwa aliyemkodisha na sasa hivi havipo tena. Au kuna vifaa alitakiwa kuagiza kutoka nje lakini wakati huu havipatikani au upatikanaji wake umeathiriwa na Covid. Au aliwaachisha kazi mafundi wake ambao tayari wameajiriwa na makampuni mengine.

3. Mkandarasi amelipwa kwa kazi aliyofanya na sio kwa kazi atakayofanya. Unaweza kukuta kuna kiasi cha kutosha kinaenda kulipa madeni ya wale aliowakopa. Hayo yanaweza kuwa ni pamoja na maswala ya over draft za benki. Ndio maana mkandarasi pamoja na kulipwa outstanding certificates ana haki ya kudai riba na kurudishiwa gharama za ziada zilizotokana na ucheleweshaji huo. Hizi zinaweza kuwa kubwa.

4. Kazi za ziada za kupanda miti na kujenga vibanda zinahitaji makubaliano na mkandarasi. Mkandarasi anaweza kukataa kuzifanya kwa sababu zinaweza kumchelewesha kukamilisha kazi aliyoingia nayo mkataba.

Nimesema haya kwa sababu naona watendaji wanataka kuwa kama wanasiasa. Sio kila kitu kinatakiwa kufanywa hadharani. Press conference ingeitwa baada ya kufikia makubaliano na mkandarasi.

Mwisho, sidhani kama serikali ina mamlaka ya kuamuru kiwanda binafsi kimuuzie fulani bidhaa zake. Wangejadiliana na wenye viwanda nchini na kama havina uwezo basi serikali ingeangalia namna ya kumsaidia mkandarasi kuagiza kutoka nje.

Amandla....
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mjengeeni hata mbingu, haisaidii tena
 
Majizi na majambazi huu uzi utawakera. Ila kwa sasa hakuna jina la kiongozi lenye mvuto na bahati zaid ya jpm.

Si unaona na humu ukianzisha uzi ukaandika jina magufuli basi kila mtu anataka kujua habari zake.

Nb. Wasiompenda jpm wako mitandaoni tu.
Hao waiompenda Magufuli unadai wapo mtandaoni tu je wanaishi sayari ya Mars?
 
Kama alivyo mbuzi wa kigodoro mama yako!!

Kuwa makini me mkongwe humu na nimeshakulaga BAN sn,najua lugha chafu balaa.Utaumia
Acha biti dgo ukongwe wako nyumbani kwako na wa toto wako hap tulia ubwede
 
Ni jambo zuri, napendekeza wangeweka na sanamu yake katikati ya huo mji ambapo kutakuwa na bustani safi kabisa watu wawe wanapumzika na kupiga picha. Hii itaongeza mvuto kwenye huo mji.
 
Ninyi wenye ku-comment hv mnajulikana na mmegawanyikama makundi matatu

1. Fisadi la maofisini

2. Vyeti feki

3. wafanyabiashara wakwepa kodi

JPM was right
 
Hivi tafsiri ya 'Magufuli City' kwa Kiswahili ni Mji wa Magufuli? Sio kwamba inatakiwa kuwa 'Jiji la Magufuli'? Sasa Jiji la Magufuli ndani ya Jiji la Dodoma!!
 
Ninyi wenye ku-comment hv mnajulikana na mmegawanyikama makundi matatu

1. Fisadi la maofisini

2. Vyeti feki

3. wafanyabiashara wakwepa kodi

JPM was right
Kabisa
 
Ni jambo zuri, napendekeza wangeweka na sanamu yake katikati ya huo mji ambapo kutakuwa na bustani safi kabisa watu wawe wanapumzika na kupiga picha. Hii itaongeza mvuto kwenye huo mji.
Uko sahihi
 
Mbowe nae atajengewa?
 
Unatetea ujinga kwa faida ya nani?
 
Halafu utawasikia wavimba macho eti Magufuli hakuacha legacy yoyote. Wakifika hapo muwe mnafumba macho!
 
Reactions: Ame
Kwamba, kwamba, kwamba, kwamba, kwamba, kwamba
 
ingekuwa ni utashi wangu ningesema huu ni Mji wa JK - ni YEYE aliyeamua Mji huu ujengwe hapo badala ya kule maeneo ya UDOM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…