Magufuli City yaiva huko Dodoma, wasiompenda kuteseka maisha yao yote

Siku hizi Stalingrad imerudi kuwa Petrograd!
1f605.png
 
Mimi nampongeza sana mungu kufanya kazi yake kwa faida ya vizazi vijacho ingawa wote tutaenda kwake, lakini Magufuri hakuwa na ubinadamu yule alikuwa ni shetani mkubwa.
Mungu fundi aisee....Mimi
 
Mungu yupo na kila mfanya baya atalipwa hapa kabla hajapotea kwenye umauti na ndivyo Magufuri yaliyomtokea. Roho za watu zimemshtaki naye Bwana mungu wa majeshi akaamua kupitisha upanga wake,sasa kila roho inaishi kwa Amani na uhakika wa kuamka salama salmini. Eeeh mungu asante kwa kumchukua mtesi wa waja wako, asante sanaaa😆😆😆🤣🤣
 
Mungu yupo na kila mfanya baya atalipwa hapa kabla hajapotea kwenye umauti na ndivyo Magufuri yaliyomtokea. Roho za watu zimemshtaki naye Bwana mungu wa majeshi akaamua kupitisha upanga wake,sasa kila roho inaishi kwa Amani na uhakika wa kuamka salama salmini. Eeeh mungu asante kwa kumchukua mtesi wa waja wako, asante sanaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]
Kumbe siku ukifa utakuwa unapitishiwa upanga kwa maovu uliyoyafanya.
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.
Kwani jina ni nini! kindegereko tunasema: What is in a name?! wakati Magufuli mwenyewe yuko Jehanamu analungula!
 
Panaitwa MTUMBA nadhani ni ushamba wa Jaffo tu halafu bado sana nipo DODOMA hapa
Hii biashara Yakuwapamba viongozi ni too much.Mara kiongozi amekonekiti kiongeleo eti anasema anawapenda sana,
Ndiyo mkuu,ndiyo mkuu.
Mwalikwa anakuwa Nonsense
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.

hata kwa kiwanja bure ama kujengewa nyuma siwezi kuishi hiyo sehemu - hata ndugu yangu atakayeishi humo ajue mimi ya yeye undugu basi, siwezi kushiriki dhambi.
 
Huko makao makuu ya nchi jijini Dodoma kulianzishwa mji wa Magufuli uliotangazwa na waziri wa tamisemi wa wakati huo Seleman Jafo ili kuenzi juhudi za rais Magufuli kwa kuahidi na kukamilisha ahadi ya kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 5 ya utawala wake.

Sasa mji huo umefikia asilimia 70 ya ujenzi wake na huduma zote muhimu kama barabara,maji na umeme zimeshafika. Bila shaka kukamilika kwa mji huo itakuwa mateso makubwa kwa wasiompenda hayati Magufuli kwani sasa watalazimika kupandia mabasi stendi ya Magufuli, au SGR ya Magufuli au ndege za Magufuli hapa kazi tu na kwenda Magufuli City Dodoma.

Kwa sasa hivi hata mikoa, wilaya, vitongoji vyote nchini viitwe jina lake raha tu kwani hakuna madhara tena, MUNGU FUNDI
 
Back
Top Bottom