Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
This time ccm itapoteza majimbo sita mkoani Mara except Musoma vijijini, Butiama na Mwibara tuRORYA ni tiifu kwa Ccm lakini hali yao ni mbaya atadhali hata na Tarime ya wapinzani !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This time ccm itapoteza majimbo sita mkoani Mara except Musoma vijijini, Butiama na Mwibara tuRORYA ni tiifu kwa Ccm lakini hali yao ni mbaya atadhali hata na Tarime ya wapinzani !!
KONGWAKongwa , kisarawe... Biharamuro ..solwa..nkansi..kalambo...kwela.. Misungwi ..korogwe
Tabora majimbo mengi yana umaskini wa kutupwa.Ku
Kumbe sehemu kubwa ya Tabora bado maskini ?
Sijafika Tabora tangu 2013.
Na kwa nini dola inamshikilia huyu jamaa asiyefaa..Yaani ni sawa na watoto wako badala ya kuwafugia kuku ili waje wale mayai tunawafugia chatu waje waliwe wao.
#CHAGUACCMKOMESHAWANAO
Kama hata mama jeska alisema hafai kuwa mume basi hatushangai kutofaa kuwa kiongozi.Magufuli hafai kuwa kiongozi!
Hivi ulitaka kusema tumbua, au?Unadhani jamaa anajielewa? Mie nadhani Watanzania ndio wakupimwa akili, iweje tuna shindwa kumtambua mtu ambaye dish limecheza?
Ndoo maana anahangaika kupita bila kupingwa vinginevyo wananchi wangemdhalilishaWeka hapo Jimbo la Kongwa kule dodoma kwa spika
JK hakuwa makini kupitisha jina la huyu mtu mwaka 2015.Kama hata mama jeska alisema hafai kuwa mume basi hatushangai kutofaa kuwa kiongozi.
Uongozi bora unaanzia katika taasisi ya familia
Mgombea wa aina hii hatufai wa Tanzania, Hayupo kujenga umoja wa watu bali kubomoa miaka yote CCM imekuwa madarakani waseme ni sehemu gani ndani ya hii nchi inakila kitu
Huyo jamaa inawezekana nae ni kundi moja na Bashite i.e wote kichwani ni sifuri.Salaam wana JF...
Jana tarehe 04.09.2020 nikiwa nimetulia sehemu nilibahatika kufungulia TBC1 na kukuta kampeni za Dkt. Magufuli akiwa mkoani Mara.
Muda wa alasiri, alikuwa Bunda, badae akapita na kusimama Kiabakari, ni eneo la mnada wilayani Butiama.
Leo najua atakuwa na mkutano Musoma mjini.
Mambo niliyoshangaa kwa Dkt. Magufuli:-
1. Aliwaambia wananchi wa Bunda kwamba hakuwafanyia maendeleo yoyote, kwa sababu wao walichagua upinzani.
-Akawauliza "nyinyi hamjiulizi mko karibu na Ziwa lakini hamna maji?"
-Akawauliza "hamuoni wenzenu Lamadi (mpakani mwa Bunda, jimbo Busega) wana taa za barabarani, nyie hamna?!"
- Akawaambia, hata barabara nimeendeleza zinazowazunguka hapa nikawaruka.
Mwisho akaishia kuwaambia mnichagulie mbunge wa CCM, na madiwani wa CCM.
Nilishangaa hakueleza zaidi atawafanyia nn, ila aliwaahidi kuwa mkinichagulia mbunge wa CCM nitakuja kuwashukuru, na siku hiyo ndio ntakuja na mipango yote kuibadilisha Bunda.
Akawasisitiza wasichague maupinzani tena.
ETI HAWEZI KUACHA MTOTO WAKE, AKAMHUDUMIA WA JIRANI.
Nampa pole Dkt. Magufuli kwa haya na timu yake ya kampeni.
Inaelekea hajui vizuri watu wa Mara (hasa eneo la Bunda).
-Moja, sio watu wa kutishiwa vitu kabisa. Pole Dkt. Magufuli
Kwa hili, Bunda umepoteza.
Wale wamezoea kuishi na upinzani tangu Nyerere akiwa hai.
Unamtishia mwana Bunda (Mwikizu, Msizaki, Mzanaki, Mkurya, n.k) vitu?!!!! Eti ndio akuchague?
UME FAIL....
Hawakuchagui, watasema baki na taa zako za barabarani.
Wale ni kina LadyJaydee hawatishwi na hawapigi magoti.
Sijui huko usukumani labda wanapiga magoti.
- Mbili,
Ni uongo mkubwa kwamba Bunda haina maendeleo kisa kuwa upinzani.
Nikuulize leo upo Musoma mjini, ambayo ipo CCM awamu hii yako ya kwanza;
Mbona Musoma mjini imefubaa kuliko Bunda?, mji umepotea na biashara haziendi mpaka watu wameukimbia?! Mbona huko yupo mbunge wa CCM?
Haya BUTIAMA je?
Mbona siku zote wapo CCM. Tena wanapitaga bila kupingwa. Mbona BUTIAMA imechoka sana.
- BUTIAMA haina maji, lakini ipo CCM.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA kampuni yako ya Mayanga imeshindwa kujenga Barabara ya Butiama - Serengeti, na hela walilipwa, Mradi wa kumalizika 2015, mpaka leo umekufa.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
- BUTIAMA haina hospital ya maana, Haina sekondari ya maana, Haina soko la maana.
Mbunge CCM, Madiwani CCM.
ACHA HADAA, HAKUNA CHA CCM.
-HALAFU UNAJIITA KABISA RAIS WA MAENEO YA CCM TU.!!
2. AKIWA KIABAKARI.
Akiwa hapa alisema tatizo kubwa la Jimbo la BUTIAMA, ni ukabila.
Aisee you're very WRONG.
Butiama haina ukabila kabisa.
Ndio maana hata ulivyosema hivyo niliona kila mtu ananyamaza.
Sijui ulimaanishi nini. Ila umedanganywa pakubwa, matatizo ya BUTIAMA ni mengine kabisa.
Nakuhurumia sana.
Halafu mu MSHAURI JPM AACHE KUTISHA WAPIGA KURA kwamba hatawafanyia maendeleo kwa vile wanachagua upinzani.
Ni uongo mkubwa...
Haya ni majimbo ambayo yapo CCM, lakini ni maskini vibaya sana..
1. BUTIAMA
2. BUKOMBE
3. BUSEGA
4. MANYONI
5. MUSOMA VIJIJINI
6. KIBITI
7. RUFIJI
8. MKURANGA
9. MVOMERO
10. UKONGA
11. KAKONKO
12. MAGU
13. IRAMBA
14. MAKETE
15. NEWALA
16. MTAMA
17. KIVUU
18. SUMBAWANGA
19. NZEGA KASKAZINI
20. NZEGA KUSINI
21. SENGEREMA
22. CHATO
23. LONGIDO
24...........
Mwana JF...
Taja MAJIMBO mengine yaliyopo CCM lakini ni maskini vibaya mno...
Comment hapa Chini.....
SASA UNAINGIA MKOA WA MARA.Mkuu, nilidhani kimeandikwa "Sasa unaingia Mkoa wa Mara". Neno KARIBU hakuna. Wanaume wale. Ukiingia jiaminishe. Hakuna aliyekukaribisha. Acha kulialia. Hahaha, kumbe Magu hawajui.
Toka 1961 bado tunazungumza kujenga ZAHANATI na kuchonga MADAWATI????Kwa kifupi Ni aibu tokea Uhuru Hadi Leo bado watu wanashida ya maji, huduma za afya duni, makazi mabovu nyumba za udongo au nyasi, elimu duni, umasikini, hakuna ajira... Nk.
hasa ya vijijini, hili huchagizwa sana na wadau wa maendeleo kutopenda kuwekeza miradi yao vijijini, pia hata wasomi hawapendi kuishi vijijini laiti wadau na wasomi wangewekeza maeneo wanakotoka nadhani vijijini pia pangekua na neema bt kwa hili serikali huwezi kuilaumu.Asilimia 100 ya majimbo yote Tanzania ni masikini wa kutupwa. Sema mengine yamezidi umasikini.
Wamepelekwa Zanzibar kuokoa jahazi la CCMile team kampeni mwaka huu imeenda wapi? au wamemtenga mkuu mwaka huu
Nashangaa.....hiyo mikelele anayopiga kila jimbo kuleta maji yalichagua wapinzani?
Haya bwana na kibao chao. Nimekuelewa lakini Nungunungu na miba zake bado wachumba wanamjia na mimba wanamdunga.Usiseme kinadharia wewe. Umefika Mara? Kibao chao kimeandikwa "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA". Neno KARIBU halipo.