Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Uko sahihi, margin haikuwa kubwa sana kama mtu ambavyo angelitgemea. Haikuwa mbaya sana! Kwangu mimi bado Kigamboni kuna "takataka" za watu maana haikupashwa kupata kura hizo Makonda!Ya makonda ni ya makonda na ya Magufuli ni ya Magufuli. Tutampima magufuli kwenye uchaguzi wa rais ambao unashirikisha watanzania wote ili tuone kama kama anakubalika ama la.
Hivi ingewezekanaje kwa wanakigamboni wamtupe mtoto wao ndugulile wakamchukue makonda ambae anaonekana kama mhamiaji tu. Hata kwa hizo kura tu alizopata bado ni nyingi sana, na amezipata kutokana na influence aliyonayo.
Na hizo kura alizopata siyo ajabu ndo zikampa back up kubwa ya kurudishwa kwa jina lake. Alipaswa kupata kura 1 au zero kabisa. Hapo ingekua ngumu kwa Kamati Kuu kurudisha jina lake, maana ingeonekana amekataliwa kabisa na wanakigamboni.Uko sahihi, margin haikuwa kubwa sana kama mtu ambavyo angelitgemea. Haikuwa mbaya sana! Kwangu mimi bado Kigamboni kuna "takataka" za watu maana haikupashwa kupata kura hizo Makonda!
Tunaomba katika uchaguzi mkuu kura zihesabiwe kama katika mchakato wa kura za maoni kuwe na media kila Jimbo kura zihesabiwa live. Halafu tuone what will happen.Ya makonda ni ya makonda na ya Magufuli ni ya Magufuli. Tutampima magufuli kwenye uchaguzi wa rais ambao unashirikisha watanzania wote ili tuone kama kama anakubalika ama la.
Hivi ingewezekanaje kwa wanakigamboni wamtupe mtoto wao ndugulile wakamchukue makonda ambae anaonekana kama mhamiaji tu. Hata kwa hizo kura tu alizopata bado ni nyingi sana, na amezipata kutokana na influence aliyonayo.
Uko sahihi to some extent, ingawa maamuzi ya wanachi yaheshimiwe! Sioni taatizo la Ndungulile mpaka wambadilishe na MakondaNa hizo kura alizopata siyo ajabu ndo zikampa back up kubwa ya kurudishwa kwa jina lake. Alipaswa kupata kura 1 au zero kabisa. Hapo ingekua ngumu kwa Kamati Kuu kurudisha jina lake, maana ingeonekana amekataliwa kabisa na wanakigamboni.
Ya makonda ni ya makonda na ya Magufuli ni ya Magufuli. Tutampima magufuli kwenye uchaguzi wa rais ambao unashirikisha watanzania wote ili tuone kama kama anakubalika ama la.
Hivi ingewezekanaje kwa wanakigamboni wamtupe mtoto wao ndugulile wakamchukue makonda ambae anaonekana kama mhamiaji tu. Hata kwa hizo kura tu alizopata bado ni nyingi sana, na amezipata kutokana na influence aliyonayo.
Zile kura alizopata siamini kuwa ni za watu waliompigia kwa moyo kunjufu kabisa kuakisi uwezo wake wa uongozi.Tunaomba katika uchaguzi mkuu kura zihesabiwe kama katika mchakato wa kura za maoni kuwe na media kila Jimbo kura zihesabiwa live. Halafu tuone what will happen. Hizo kura alizopata Bashite ni kwa kuhonga tu pengine labda na kuwatisha baadhi ya wajumbe. Ila kiukweli watekaji, wapiga watu risasi mchana kweupe, wakandamizaji wa demokrasia nk wamechokwaaa.
Na hata mimi nitaunga mkono kumpongeza kwa ushindi wa namna hiyo, licha ya kutopenda mengi aliyofanya kwenye hii miaka mitano.Kama atawaachia wapinzani wafanye kampeni kwa Uhuru bila bughudha, Upinzani ukaweka mgombea mmoja, kura zinahesabiwa wazi wazi kama jana.
Basi CCM atashinda kwa 50.9%
Lkn ilikua hapakutolewa fomu moja Bali walishindanishwa kila mtu uwezo wake wanavopendwa na wajumbeWaliomtangulia walipitaje awamu zao za pili? Tuone msimamo wa Democracy.
Unajaribu kuwa influence watanzania nn juu ya bandiko lako. Wenye akili zao wanakuelewa unachojaribu ku hadaa.
Maisha mliyokuwa mnaishi mwanzo kabla ya Maguful ndiyo mmeyamiss, maisha ya wizi serikalin, maisha ya kufanya anasa kwa kuwa pa kuchotea kupo wazi.
Msiteseke namna hyo, fanyen kaz mpate fedha za kula maisha kihalali, mtateseka mpka lini?