Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ndiyo Magufuli ameziba mianya ya ulaji serikalini. Ni mipango na sera gani alizoziweka ambazo mrithi wake atazifuata na hali haitarudi kama ilivyokua?Unajaribu kuwa influence watanzania nn juu ya bandiko lako. Wenye akili zao wanakuelewa unachojaribu ku hadaa.
Maisha mliyokuwa mnaishi mwanzo kabla ya Maguful ndiyo mmeyamiss, maisha ya wizi serikalin, maisha ya kufanya anasa kwa kuwa pa kuchotea kupo wazi.
Msiteseke namna hyo, fanyen kaz mpate fedha za kula maisha kihalali.....mtateseka mpka lini?