KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Huenda una mtindio wa akili, maanake uliyoandika hapa hayana maana yoyote.Acha kumlinganisha Rais wa Africa na watu wasio eleweka. Mimi nipo nchi za nje kote huku wanamzungumzia Magufuli tu.
Magufuli ni nani anayemjua nchi za nje?