Uchaguzi 2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

Kwa kazi alizofanya Magufuli hana mpinzani popote pale.
 
Uchaguzi wa kigamboni wa ccm umewapa fursa ya kutoa ya moyoni
 
Kwa kazi alizofanya Magufuli hana mpinzani popote pale.
Kazi gani hiyo?
Ya kutokuajiri watu wa kilimo, afya na elimu?
Kazi ya kutokupandisha mishahara kwa miaka 5
Kazi ya kuleta hali ngumu kwa wananchi?
Au kazi hewa na propaganda za vile viwanda hewa 8477 na ajira hewa million 6?.
Angekuwa anajijua kuwa anakubalika asingemtimua Membe aliyetangaza kugombea Urais!
Asingemfanyia Lisu ule uhayawani wa kumpa kesi za uchochezi kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…