Magufuli lala kwa Amani, kazi tunaiona kabla hata ya mwaka nusu

Tuache ujinga kazi inauofanywa na samia ni kubwa mno,hizo safari anazofanya nje zote zina manufaa makubwa sana na nchi yetu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mama anakwenda mwezini.
Umetumia lugha ya kejeli iliyolenga matusi. Huu siyo uungwana; unatafuta sababu ili useme umeonewa

Tujifunze kuheshimiana

Kuhusu hoja yako; Mama Samia siyo Rais pekee anayesafiri duniani na safari zake zote alizosafiri zimeleta mafanikio makubwa sana. Hakuna safari aliyosafiri isiyo na tija. Kwa nature ya majukumu ya Rais; hawezi kusafiri bila sababu ya msingi.

Kazi inafanyika na matunda ya safari yanaonekana kwa vitendo. Hakuna Rais asiyesafiri duniani.
 
mwambie pia kutekana sasa hivi kumepungua na ile kesi aliyoiachaga ya kina adamoo mbowe yuko ndani - pia mshangaze kwamba Sabaya kashakula mvua 30. na kuhusu katiba mwambie msimamo wa ccm bado ni uleule kwamba si agenda yao kwa sasa, mikutano ya kisiasa bado imezuiwa, nape na yeye kashaaza kuongea ongea tena kuhusu eti deni la taifa limekuwa kubwa mno ktk utawala wako, lissu na lema bado hawajarudi tangu ulipoondoka ila january kashaula uwaziri na membe kampeleka mahakamani msiba anatakiwa amlipe billioni sita za kumkashifu..kifupi watanzana walau wana furaha kidogo kulinganisha na ulivyokuwapo.
 
Alale kwa amanj? Kuni zichochewe zaidi kwa mjalaaana yule na asipate amani kabisa huko aliko potelea pote...katuachia chuki kubwa ambayo ma ccm yanaienzi na yenyewe yalaaniwe... maendeleo si kitu Kama hakuna haki
 
Alale kwa amanj? Kuni zichochewe zaidi kwa mjalaaana yule na asipate amani kabisa huko aliko potelea pote...katuachia chuki kubwa ambayo ma ccm yanaienzi na yenyewe yalaaniwe... maendeleo si kitu Kama hakuna haki
Nchi huru kila mmoja yupo huru kutoa mtizamo wake!
 
Waambie Lissu na Lema warudi kama walimkimbia mbona wameng'ang'ana na kuna amani!
 
Aksante sana niombe radhi kwa wote niliowakwadha katika hiyo lugha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…