Magufuli lala kwa Amani, kazi tunaiona kabla hata ya mwaka nusu

mazuri yake yapo.
Shida alikuwa na roho mbaya.
Kuwaweka watu jela,kuteka ,kutesa na hata kuua .haya matendo yalitokea kipindi chake.
Na ndio wamemuharibia sana.
 
Muuwaji na mshirika wa utesaji na utekaji watu na mwenzie Sabaya anawezaje kulala kwa amani? Huko ni Moto tuu unamuwakia yeye anapata Mateso ya kuzimu Sabaya anateswa huku kwanza duniani.
 

Mabaki ya Sukuma Gang
 
Mfuate Yuko huko Motoni Jehanamu anapata Stahiki yake, Nenda Kamueleze haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…