Magufuli lala kwa Amani, kazi tunaiona kabla hata ya mwaka nusu

Baba we nenda tuuu ,mama huku ametupiga na kitu kizitto kichwani ata tumepoteana hatujui tushike lipi tuache lipi kweli yatima hadeki.
 

Mama wa Kanguye bado anamlilia mwanae ,Mtoto wa ben saa nane anamlilia baba yake,Mke wa Azory bado anamtafuta mmewe ,Ndugu wa Rwajabe bado hawaamini ripoti ya Mambosasa!!
 
Tatizo biashara kubwa zote za nchi hii zipo chini ya wanasiasa ndo maana wanajifanyia chochote wanachotaka.
 
Mkuu, twende Mbele na Kurudi Nyuma
Kwa Matendo ya Kishetani ya Mzee Mwendakuzimu, kama wewe Ungekuwa Maulana, ungemtupia wapi ?
Sio huyo aliyesema dhambi zako zikiwa nyekundu zitakuwa nyeupe
na zikiwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama sufu.
au amepiga u-turn nakurud kama alivyokuwa Mungu wa visasi wa agano la kale
au Kuna Mungu mwingine utujuze?
 

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi dhalimu bila damu kumwagika.
 
Sio huyo aliyesema dhambi zako zikiwa nyekundu zitakuwa nyeupe
na zikiwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama sufu.
au amepiga u-turn nakurud kama alivyokuwa Mungu wa visasi wa agano la kale
au Kuna Mungu mwingine utujuze?
Huyo Huyo aliyesema ukimkufuru Roho wake Matakatifu, basi utakuwa umejikatia ticket ya Motoni
 
Kiongozi hili bandiko lako linaonyesha changamoto tuliyonayo ya kuamini kwenye utashi binafsi badala ya kujenga mifumo ambayo itatuongoza wote leo na kesho.

Na hata angekuja MALAIKA, utaratibu na mazingira ya utawala yaliyopo..hatuwezi kutoboa!

Polepole alishindwa uongozi akiwa kwenye kiti leo anataka afundishe wengine akiwa darasani!
 
Hiyo mifumo wanaiongoza misukule?
mifumo imara ni matokeo ya watu imara
sio vice versa hiyo mifumo itakuwa imara watu watanunuliwa kama hao kina halima.
Magufuli alikuwa imara sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…