Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Tatizo lingine kubwa Makufuli hata kiswahil hakiwezi vizuri.Hajui tofauti ya R na L
raha=laha
a stick kisukuma na apewe mkalimani
Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
Kwa mantiki ya Kitila Mkumbo ni kwamba JF inaweza kutoa rais bora kabisa anayeitwa Kiranga
Yaani nilisikiza ile clip anayosema -'' I am poritishians... I don't want to take this eehh!!! This time as saying so many poritical words, simple and crear is only I congrugation to you, to the University corumbi.... you... Corumbia University for good assistance we are getting to this hospital.. '' Huyo ni mwalimu wa secondary, na PhD holder. Sipati picha wanafunzi wake..
Mkuu ingekuwa busara ufunguke kidogo. Tatizo ni kuwa bado tunafikiri kama wasukusu. Kwanini kujua kiingereza iwe ni kigezo cha kuficha aibu, mbona viongozi wa China, Angola, Russia na nyingine wanatumia wakalimani?
Mbona JK hayuko vizuri kwe kiingereza, Kifaransa na hata kwelu lugha ya baadhi ya nchi alizoenda kuomba? did we have any presidential language mishap?
Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.
Prof baada ya mama what next maana nchi hii ndo is hakuwa shida na Act elimu si Kipaumbele chenu.Kama watu wanataka mgombea mwenye weledi ambaye atatusitiri kimataifa tumchague Mama Anna Mghwira. Vinginevyo tujiandae kuficha nyuso zetu for five years. Inaumiza lakini hiyo ndiyo hali halisi.
QUOTE=;14126205]
"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."
"Simple and clear is only congregations to you.."
"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..
Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.
Kwahiyo Idd Amini naye alionewa,maana ndiye kiongozi aliyetoa hotuba mbovu zaidi ya kiingerezautumwa kazini, kujua kiingereza siku izi imekuwa ndo maarifa hahahahhaa. kama vipi tumwombe Adam simbeyi awe raisi wetu
Nadhani tatizo hapa ni zaidi ya kiingereza. Ni suala la weledi na mantiki. Hicho kiingereza ulichokiona ni dalili tu lakini kuna tatizo kubwa zaidi kuhusu uwezo wa kifikra wa viongozi wetu. Lakini kwa kuwa tumeamua kufungia macho ujinga acha twende hivyohivyo kuna siku tutaamka.
Kwahiyo Idd Amini naye alionewa,maana ndiye kiongozi aliyetoa hotuba mbovu zaidi ya kiingereza
duniani mpaka sasa,hii ya Dr Magufuli nadhani imafuatia kwa ubovu.