Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasaalam wakuu
wagombea wetu mwaka huu wanachekesha sijui wanachapa kizungu cha marekani, Afrika kusini, Uingereza au wapi? Kama yule mwenye Phd yeye ni kuvuruga ligha za watu tu sasa sijui kama ataweza kupresent mambo kama afanyavyo raisi wa Kenya, au ndio atapiga kisukuma chake ?
QUOTE=;14126205]
"I am a politicians". "I dont want to take this time as saying so many political...."
"Simple and clear is only congregations to you.."
"To the University Korindor... , Co... Cor,.. Colimbia univeristy to the assistance we are getting to this hospt"..
Bila shaka huyu jamaa anatamani KIMATUMBI iwe lugha ya kufundishia Tanzania.

Tanzania Kiingereza ni tatizo la kitaifa. Tell us something we don't know.
What you are choosing now is between Pwagu and Pwaguzi. The devil and the deep blue sea.
Sio tatizo kabisa sababu kujua au kutokujua kiingereza sio kigezo cha kuwa rais.
Rais hachaguliwi kwa vigezo vya kuwa rais tu.
Tukiwa na watu wawili wenye vigezo sawa, na mmoja ana advantage zaidi ya vigezo, mwenye advantage zaido ya vigezo atatufaa zaidi.
Let's stop dumbing this down to the basics.