Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Ukimfuta uanachama maana yake jimbo linabaki wazi na tunarudi kwenye uchaguzi!Je,ana uwezo wa kufanya hivyo na kurisk kurudi kwenye uchaguzi?Hakuna anayeweza kuwa rais, mbunge au diwani anayeweza bila dhamana ya chama
Silinde, Mwambe,Lijuakali na wale madiwani wa Tanga walifukuzwa kwenye vyama vyao lakini waliendelea na nafasi zao za kuchaguliwaHakuna anayeweza kuwa rais, mbunge au diwani anayeweza bila dhamana ya chama
Mungu hamfichi mnafiki siku zote,mahera amwandikie barua ya kujieleza na huyo mgombea wa ccm leo akajieleze aache ujingaHapa Mahera kavaa miwani ya mbao, huyu mgombea anaewatisha wapiga kura kwamba atawashughulikia wasipomchagulia awatakao hapa tume mbona Ni kigugumizi
Anaendekeza ukabila huyu mapesaMungu hamfichi mnafiki siku zote,mahera amwandikie barua ya kujieleza na huyo mgombea wa ccm leo akajieleze aache ujinga
Mbunge akifutwa uanachama bado anaendelea kuwa Mbunge?Ukimfuta uanachama maana yake jimbo linabaki wazi na tunarudi kwenye uchaguzi!Je,ana uwezo wa kufanya hivyo na kurisk kurudi kwenye uchaguzi?
Amewaona ni wajinga ndio maana anawapa uongo wa kijinga!
Kiufupi JPM hawezi kumtumbua Mbunge,sana sana anachoweza kufanya ni kumfuta uanachama!
Utasemaje nimemfukuza ubunge?Hapo unamfukuza uanachama na akienda mahakamani anaweza akaendelea kubaki na ubunge wa mahakama mpaka muda wake utakapokwisha!Mbunge akifutwa uanachama bado anaendelea kuwa Mbunge?
Hata mie nimeshangaa yaani keshachanganyikiwa mpaka anadanganya watu kuwa anaweza kutumbua Mbunge? kweli Lissu ni habari nyingine kamfanya Magufuli Network ikate kabisa.Jamani mshaurini mgombea wetu wa CCM ajizuie kutoa kauli tata. Ukweli ni kwamba Rais hana uwezo wa kutumbua mbunge, hata wa CCM maana wabunge wako chini ya mhimili mwingine.
Kwa hiyo alivyomtumbua Kitwanga alimtumbua na Ubunge?.Usisahahu kuwa Magufuli ni Rais na pia ni mwenyekiti wa CCM
Mi nauliza madiwani uliosema eti anaweza kuwatumbua kwa miaka mitano katumbua wangapi?Wengiiii na sasa ni anaingia kwa wabunge na madiwani
Hatua kwa hatua
Wenye Dodoma yao wanashukuru wamefikiwa na miundombinu na huduma nyingi wakati wa Magufuli Magufuli
Kwa kiasi chochote kinachowezekana hahahaMi nauliza madiwani uliosema eti anaweza kuwatumbua kwa miaka mitano katumbua wangapi?
Ulitaka ijengwe kwa siku, au wiki moja au mwezi au mwaka moja tuu eeehMiundombinu??yaan ukitoka tu nje ya mji kdogo tu utaoga vumbi mpka uchanganyikiwe.
Anataka wabunge wa ccm ili hata akishindwa akatangazwa kwa nguvu, hao hao wabunge wake waseme bungeni aongezewe miaka mingine 10 na katiba inabadilishwa fasta kwa ndiyooooo..Akiwa jimboni kwa Lusinde mbali na kutoa amri ya kuwekwa lami barabara ya KM 16 pia amesisitiza kuwa aletewe Wabunge wa CCM maana akiletewa wa upinzani fedha zitaliwa na hana uwezo wa kuwatumbua.
Hili jambo nimekuwa nikiliwaza sana. Mbona Rais Magufuli anatupiga kamba waziwazi kabisa?
Je, kwa kuangalia tu kati ya Wabunge wa upinzani na wale wa CCM ni wepi wameonyesha uwezo hata majimboni mwao? Ni wepi wameonyesha kuwa bega kwa bega na wapiga kura wao? Ni wepi wamesimama kidete kutetea maslahi ya umma?
Na swali la mwisho kabisa, kati ya wapinzani na wale wa CCM kina nani wamekithiri kwa tuhuma za wizi? Je amewahi kuonyesha mfano wa hata mbunge mmoja wa CCM aliyemtumbua kwa tuhuma za wizi bunge lililopita? Walikuwepo watuhumiwa au hawakuwepo?
My take
Nimeona kabisa lengo la Magufuli la kutaka Wabunge wa CCM watupu siyo hili analotuaminisha, lipo lingine amelificha. Halafu naona kama Rais anataka kutuchota watanzania wote atulazimishe tuwe kundi moja!
Haiwezi kutokea hiyo, na Lissu ndio anatembelea hiyo kitu.Tume ya maadili umuite. Anawatisha wapiga kura. Analeta hofu kwa watanzania.
Kumbe ubunge ni kipaji, basi na urais ni kipaji, tena kipaji kajaaliwa Lissu aiseeView attachment 1583483
Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu.
Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta stendi ya kisasa, soko la kisasa n.k. Tunatimiza ndoto ya Mwl. Nyerere.
Uongozi sio madegree ni kipaji toka kwa Mungu, Lusinde ni kijana mzuri na anafanya kazi nzuri ndio maana ni mjumbe wa NEC. Nyie wananchi mnajua kuchagua.
Natoa ahadi kwa watani zangu Wagogo, niliahidi km 16 toka Mlowa hadi Mvumi zitengenezwe kwa lami.
Anamuita Mkuu wa Mkoa...
"Nataka umuagize RM wa TANROADS Dodoma ndani ya miezi 2 barbr ya Mlowa kwenda Mvumi itangazwe tenda kwa ajili ya kujengwa kiwango cha lami.
Nataka wagonjwa wanaougua macho hapa wawe wanapelekwa kwa haraka Mvumi. Tunataka jombi lililo karibu na Makao Makuu lifanane na hadhi hiyo. Tunataka tubadilishe Wilaya ya Mvumi. Nina hiostoria nayo, nilikuwa na kaka yangu hapa alishafariki. Nilishawahi kuleta mzee mmoja kutoka Chato ameshatangulia mbele za haki.
Ndugu zangu wa Mvumi, mna mbunge mchapakazi. Narudia ubunge sio Degree ni kuwakilisha mawazo na shida za wananchi anaowaongoza. Lusinde anaweza mumpe kura nyingi. Au kapita bila kupingwa au wapo wanaompinga? Wanaompiga waonesheni tarehe 28 lakini pia mniletee madiwani wa CCM ili kazi ifanyika vizuri
Nitashangaa sana tumeleta Makao Makuu hapa halafu shukrani iwe ni kutunyima kura? Kweli watu wa hapa hamfaidiki na Makao Makuu ya Dodoma?
Kabla ya miaka 2 kupita, vijiji 30 vilivyobaki vitakuwa na umeme. Mimi nakaa hapa, haiwezi kunishinda"
Dkt. Magufuli anasisitiza madiwani wote wawe wa CCM ili Halmashauri ya Wilaya itakayoundwa pesa zitakazoletwa zitumiwe vizuri na wa CCM sababu nina uwezo wa kuwatumbua. Mkileta wengine (vyama vingine) sitoweza kuwatumbua, wakila msinilaumu
Kisha Dkt. Magufuli anatania kuwa anawapenda sana Wagogo, "Inawezekana Lusinde akanitaufutia kasichana kazuri ka kigogo"