Uchaguzi 2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

Uchaguzi 2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

Hakuna anayeweza kuwa rais, mbunge au diwani anayeweza bila dhamana ya chama
Ukimfuta uanachama maana yake jimbo linabaki wazi na tunarudi kwenye uchaguzi!Je,ana uwezo wa kufanya hivyo na kurisk kurudi kwenye uchaguzi?
Amewaona ni wajinga ndio maana anawapa uongo wa kijinga!
Kiufupi JPM hawezi kumtumbua Mbunge,sana sana anachoweza kufanya ni kumfuta uanachama!
 
Hakuna anayeweza kuwa rais, mbunge au diwani anayeweza bila dhamana ya chama
Silinde, Mwambe,Lijuakali na wale madiwani wa Tanga walifukuzwa kwenye vyama vyao lakini waliendelea na nafasi zao za kuchaguliwa
 
Mgombe urais wa chama kilichopo madarakani umewahi kuyasikia mameno haya .You can fool some people sometimes,but you can not fool all the people all the time.Kutoka katika wimno wa Get up Stand up

Get up, stand up, stand up for your rights
Get up, stand up, stand up for your rights
Get up, stand up, stand up for your rights
Get up, stand up, don't give up the fight
Preacher man, don't tell me
Heaven is under the earth
I know you don't know
What life is really worth
It's not all that glitters is gold
'Alf the story has never been told
So now you see the light, eh
Stand up for your rights, come on
Get up, stand up, stand up for your rights
Get up, stand up, don't give up the fight
Get up, stand up, stand up for your rights
Get up, stand up, don't give up the fight
Most people think
Great God will come from the skies
Take away everything
And make everybody feel high
But if you know what life is worth
You will look for yours on earth
And now you see the light
You stand up for your rights, jah
Get up, stand up (Jah, Jah)
Stand up for your rights (oh-hoo)
Get up, stand up (get up, stand up)
Don't give up the fight (life is your right)
Get up, stand up (so we can't give up the fight)
Stand up for your right (Lord, Lord)
Get up, stand up (keep on struggling on)
Don't give up the fight (yeah)
We sick an' tired of-a your ism-skism game
Dyin' 'n' goin' to heaven in-a Jesus' name, Lord
We know when we understand
Almighty God is a living man
You can fool some people sometimes
But you can't fool all the people all the time
So now we see the light (what you gonna do?)
We gonna stand up for our rights (yeah, yeah, yeah)
So you better
Get up, stand up (in the morning, git it up)
Stand up for your rights (stand up for our rights)
Get up, stand up
Don't give up the fight (don't give it up, don't give it up)
Get up, stand up (get up, stand up)
Stand up for your rights (get up, stand up)
Get up, stand up
Don't give up the fight (get up, stand up)
Get up, stand up
Stand up for your rights
Get up, stand up
Don't give up the fight
 
Hapa Mahera kavaa miwani ya mbao, huyu mgombea anaewatisha wapiga kura kwamba atawashughulikia wasipomchagulia awatakao hapa tume mbona Ni kigugumizi
Mungu hamfichi mnafiki siku zote,mahera amwandikie barua ya kujieleza na huyo mgombea wa ccm leo akajieleze aache ujinga
 
Dwa ni moja tu! Kwanza tuanze na yeye mwenyewe tumpige chini october 28, Kisha kama wabunge wake wamejileta kule mjengo, Rais Lissu anachofanya ni kulivunja bunge, kisha tunaitisha uchaguzi wa wabunge upya! Tuone watapitia wapi!
 
Ukimfuta uanachama maana yake jimbo linabaki wazi na tunarudi kwenye uchaguzi!Je,ana uwezo wa kufanya hivyo na kurisk kurudi kwenye uchaguzi?
Amewaona ni wajinga ndio maana anawapa uongo wa kijinga!
Kiufupi JPM hawezi kumtumbua Mbunge,sana sana anachoweza kufanya ni kumfuta uanachama!
Mbunge akifutwa uanachama bado anaendelea kuwa Mbunge?
 
Mbunge akifutwa uanachama bado anaendelea kuwa Mbunge?
Utasemaje nimemfukuza ubunge?Hapo unamfukuza uanachama na akienda mahakamani anaweza akaendelea kubaki na ubunge wa mahakama mpaka muda wake utakapokwisha!
Mwambe alifukuzwa uanachama wa Chadema na barua akaandikiwa spika,ila spika akamuita Mwambe bungeni na kutangaza ni mbunge na aendelee na vikao japokuwa alikuwa na kadi ya uanachama ya CCM!
Hii inamaana kuwa Mbunge hatumbuliwi ila anaweza kufutiwa uanachama wake tu!
Awamu hii pia imetuonesha kuwa Mbunge anaweza kuwa mwanachama wa CCM ila akawa mbunge halali kwa tiketi ya Chadema!!!!
 
Jamani mshaurini mgombea wetu wa CCM ajizuie kutoa kauli tata. Ukweli ni kwamba Rais hana uwezo wa kutumbua mbunge, hata wa CCM maana wabunge wako chini ya mhimili mwingine.
Hata mie nimeshangaa yaani keshachanganyikiwa mpaka anadanganya watu kuwa anaweza kutumbua Mbunge? kweli Lissu ni habari nyingine kamfanya Magufuli Network ikate kabisa.
 
DALILI za kuanza kukata pumzi , leo maenseleo hayana chama , kesho msinileteee wabunge wa upinzani sitatoa pesa za maendelea
 
Wengiiii na sasa ni anaingia kwa wabunge na madiwani
Hatua kwa hatua
Mi nauliza madiwani uliosema eti anaweza kuwatumbua kwa miaka mitano katumbua wangapi?
 
Atawatumbua kwa sheria gani?
Waliochaguliwa na wananchi rais hana mamlaka ya kutumbua
 
Wenye Dodoma yao wanashukuru wamefikiwa na miundombinu na huduma nyingi wakati wa Magufuli Magufuli

Miundombinu??yaan ukitoka tu nje ya mji kdogo tu utaoga vumbi mpka uchanganyikiwe.
 
Katika watu ambao ni wa hovyo hapa nchini ni pamoja na Wagogo.

Kipaji hicho yeye anacho??
 
Miundombinu??yaan ukitoka tu nje ya mji kdogo tu utaoga vumbi mpka uchanganyikiwe.
Ulitaka ijengwe kwa siku, au wiki moja au mwezi au mwaka moja tuu eeeh
Wewe nyumba yako umeijenga kwa muda gani??? Kama umeshamaliza ujenzi
 
Akiwa jimboni kwa Lusinde mbali na kutoa amri ya kuwekwa lami barabara ya KM 16 pia amesisitiza kuwa aletewe Wabunge wa CCM maana akiletewa wa upinzani fedha zitaliwa na hana uwezo wa kuwatumbua.

Hili jambo nimekuwa nikiliwaza sana. Mbona Rais Magufuli anatupiga kamba waziwazi kabisa?

Je, kwa kuangalia tu kati ya Wabunge wa upinzani na wale wa CCM ni wepi wameonyesha uwezo hata majimboni mwao? Ni wepi wameonyesha kuwa bega kwa bega na wapiga kura wao? Ni wepi wamesimama kidete kutetea maslahi ya umma?

Na swali la mwisho kabisa, kati ya wapinzani na wale wa CCM kina nani wamekithiri kwa tuhuma za wizi? Je amewahi kuonyesha mfano wa hata mbunge mmoja wa CCM aliyemtumbua kwa tuhuma za wizi bunge lililopita? Walikuwepo watuhumiwa au hawakuwepo?

My take
Nimeona kabisa lengo la Magufuli la kutaka Wabunge wa CCM watupu siyo hili analotuaminisha, lipo lingine amelificha. Halafu naona kama Rais anataka kutuchota watanzania wote atulazimishe tuwe kundi moja!
Anataka wabunge wa ccm ili hata akishindwa akatangazwa kwa nguvu, hao hao wabunge wake waseme bungeni aongezewe miaka mingine 10 na katiba inabadilishwa fasta kwa ndiyooooo..
 
View attachment 1583483

Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu.

Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta stendi ya kisasa, soko la kisasa n.k. Tunatimiza ndoto ya Mwl. Nyerere.

Uongozi sio madegree ni kipaji toka kwa Mungu, Lusinde ni kijana mzuri na anafanya kazi nzuri ndio maana ni mjumbe wa NEC. Nyie wananchi mnajua kuchagua.

Natoa ahadi kwa watani zangu Wagogo, niliahidi km 16 toka Mlowa hadi Mvumi zitengenezwe kwa lami.

Anamuita Mkuu wa Mkoa...

"Nataka umuagize RM wa TANROADS Dodoma ndani ya miezi 2 barbr ya Mlowa kwenda Mvumi itangazwe tenda kwa ajili ya kujengwa kiwango cha lami.

Nataka wagonjwa wanaougua macho hapa wawe wanapelekwa kwa haraka Mvumi. Tunataka jombi lililo karibu na Makao Makuu lifanane na hadhi hiyo. Tunataka tubadilishe Wilaya ya Mvumi. Nina hiostoria nayo, nilikuwa na kaka yangu hapa alishafariki. Nilishawahi kuleta mzee mmoja kutoka Chato ameshatangulia mbele za haki.

Ndugu zangu wa Mvumi, mna mbunge mchapakazi. Narudia ubunge sio Degree ni kuwakilisha mawazo na shida za wananchi anaowaongoza. Lusinde anaweza mumpe kura nyingi. Au kapita bila kupingwa au wapo wanaompinga? Wanaompiga waonesheni tarehe 28 lakini pia mniletee madiwani wa CCM ili kazi ifanyika vizuri

Nitashangaa sana tumeleta Makao Makuu hapa halafu shukrani iwe ni kutunyima kura? Kweli watu wa hapa hamfaidiki na Makao Makuu ya Dodoma?

Kabla ya miaka 2 kupita, vijiji 30 vilivyobaki vitakuwa na umeme. Mimi nakaa hapa, haiwezi kunishinda"

Dkt. Magufuli anasisitiza madiwani wote wawe wa CCM ili Halmashauri ya Wilaya itakayoundwa pesa zitakazoletwa zitumiwe vizuri na wa CCM sababu nina uwezo wa kuwatumbua. Mkileta wengine (vyama vingine) sitoweza kuwatumbua, wakila msinilaumu

Kisha Dkt. Magufuli anatania kuwa anawapenda sana Wagogo, "Inawezekana Lusinde akanitaufutia kasichana kazuri ka kigogo"
Kumbe ubunge ni kipaji, basi na urais ni kipaji, tena kipaji kajaaliwa Lissu aisee
 
Back
Top Bottom