The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Idd Amin Mwendazake lazima asemwehttps://twitter.com/HildaNewton21/status/1621400205152161792?t=nFj_IUg8qlI76qmqMxwIpw&s=19Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Mfuate mungu wako chatoNimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Vile vile thamani ya kura za wajinga 2000 hailingani kabisa na thamani ya kura ya Mwerevu mmojaKumbuka pia kura za hao unaowaita wajinga 2,000 siyo sawa na kura ya mwerevu mmoja!
Sahihi kabisa. Hivi hata akipewa mamlaka leo atamfanya nini magufuri.Nami niwashauri CDM kama hawatamshauri Lissu kubadili upepo,wategemee anguko kubwa sana 2025.
Kitu cha kujifunza ni kwamba Magu ameishafariki na watawala wa sasa wamejinasibu kuwa kinyume na sera zake,kwa hiyo kuendelea kumnanga marehemu asiyeweza kukujibu wala kujitetea kwa yale unayomsema
ni sawa na wewe kuanza kuishi kwenye ulimwengu wa waliokufa ilihali bado uko kwenye ulimwengu wa walio hai,
Hii inakusababishia sera zako kuwa mfu.unachokwa na kusahaulika kama marehemu.
Muovu kukushinda wewe unaefanya madhambi yako na bado unasemea uongo kuhukumu mtu ambaye unamjua kwa njia ya picha na video tu za mitandaoni.Acha comment 2,000 hata ingekuwa watanzania wote wamemtetea Magufuli, bado Magufuli alikuwa rais muovu. Hutaki jinyonge.
Hao wote 2000 ni wanufaika wa kidhalimuWewe unafikiri maoni ya wajinga 2,000 ni sawa na yale ya mwerevu mmoja.
Comments?? Hivi umewahi pita page ya Messi au Ronaldo ama Odinga na Ruto? Huwa wanaoga matusi utadhani hawana mashabiki kabisa.Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Ndio mfano alisema Lissu ni msaliti sababu anawasiliana na Mwanyika (VP wa Acacia) ambaye alisema ndio ametuletea hasara ya trillion 300+, alafu baadae anakuja kumpa Mwanyika ubunge na alimfanyia kampeni kabisa.Muovu kukushinda wewe unaefanya madhambi yako na bado unasemea uongo kuhukumu mtu ambaye unamjua kwa njia ya picha na video tu za mitandaoni.
Wewe magufuri unamjua personally na ulishayashuhudia maovu yake akiwa anapanga au kuyatekeleza?!
Tutajie huo uzi wenye comment 2000 tuurejelee.Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Si mlisema kura hazipigwi Mitandaoni? Kigogo alikua na followers 1 million kwa definition Yako Ina maana upinzani ulikua na kura million 1 before uchaguzi??Kumbuka pia kura za hao unaowaita wajinga 2,000 siyo sawa na kura ya mwerevu mmoja!
Sina uhakika kama wazazi wako walitimizwa wajibu wao kama walezi,Nyie genge la wasukuma acheni ujinga wa kutaka kujaza matumbo yenu kupitia Magufuli aliyekuwa hovyo.
Sio Tanzania tu,ni moja ya marais bora kabisa kuwahi kutokea Duniani,MAGUFULI alikuwa raisi bora kuwahi kutokea Tanzania na nachelea kusema raisi bora wa muda wote!
Lissu na hayo magolori yake,Jinsi mamlaka husika zilivyo handle shambulizi dhidi ya lissu serekali ya wakati huo haiwezi kujitenga nalo regardless wanaomsema vibaya marehemu wameishia lini......
Werevu wa chadema,kujifunga toilet paper mdomoniKura za wajinga zinachagua na kupitisha watakaowaongoza kijinga. Bora wajinga wachague mwerevu awaondoe ujinga.
Walifanya vizuri sana na ninawasifu kweli kweli kwa maana leo hii ninajua ukweli na uongo na ninachukia dhuluma na uonevu kama aloufanya Magufuli kwa watu wengi.Sina uhakika kama wazazi wako walitimizwa wajibu wao kama walezi,
Sahihi kabisaa!Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.
Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.
Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Ulinchiluchilu,Wewe kwa ujinga na upumbavu wako unaamini lissu alipigwa risasi na magu?Wapo watu walio aibishwa tu na JPM kwenye mikutano ya hadhara, wanamchukia sana mpaka leo hii, itakuwa huyu ALIYEMIMINIWA risasi kama walikuwa wanataka kuua tembo?
Waswahili wanasema, "UTAMSAHAU ALIYEKUCHEKESHA, LAKINI SIO ALIYEKULIZA!"
Mi naona zitto alikuwa sahihi.Hata Zitto alipojaribu kumkashfu/kumdhihaki JPM, kwamba anayempenda JPM akazikwe naye, alishushiwa mvua ya mawe kwa kiwango kisichokuwa na kipimo. Tangu hapo aliufyata kimya mpaka leo.
Kwa kifupi kabisa, JPM hagusiki kabisa.