Magufuli 'oil chafu' ukiigusa unachafuka mwenyewe

Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Idd Amin Mwendazake lazima asemwehttps://twitter.com/HildaNewton21/status/1621400205152161792?t=nFj_IUg8qlI76qmqMxwIpw&s=19
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Mfuate mungu wako chato
 
Unajua hata Nyerere kizazi chake walikuwa wanamuona wa hovyo sana na ndio maana kuna majungu majungu fulani ya kishamba ambayo kwa kijana wa sasa ukitazama unaona kabisa ni chuki binafsi na roho za kwann za wakuda wa miaka hiyo.

So siwezi shangaa hata kwa magufuri mtu ambaye kajitoa sana. Hizi hoja za kumponda ukizitazama maelezo yake huwa ni ngumu sana kuwaelewa hawa wanaomponda magufuri wana dhamira gani na taifa hili. Mbona sasa hivi mambo ni magumu na hali ni mbaya hakuna anaezungumza?

Watakao kuja kumuelewa magufuri ni kizazi kijacho ambacho kitapima legacy kwa matokeo yake chanya. Tazama nyerere kaliunganisha taifa kubwa kama hili na kuvunja tabia za hovyo ambazo zingeleta ubaguzi na chuki. Kaweka lugha moja ya taifa, katujenga kuheshimu utu wa mtu sio pesa, kabila,sijii rangi yake, katufunza kutokuwa na tamaa za kujilimbikizia mali na yeye akiwa mfano hai hakuacha hata ndugu yake ikulu wala mtoto wake hata m'moja katika serikali.

Leo sisi vijana tunaona haya wazi wazi kabisa. Haya mazee ya sasa hivi ambayo nyakati hizo ndio walikuwa vijana still walimpinga na kumponda Nyerere kwa vihoja chokonozi na visivyo na mashiko. Leo wale wale waliomponda wanayafanya maovu yaliyokemewa na hayati Nyerere.

So tusishangae magufuri kupondwa na washenzi wachache wasiolitakia mema taifa letu.

Ipo siku wasifu wa magufuri utasomwa kwa heshima sana. Hebu watazameni vizuri watu wanaomponda magufuri wakiwa wanaongea na kutoka povu halafu sikiliza hoja zao. Utagundua wanazungumza maumivu binafsi na sio masilahi ya taifa.
 
Nami niwashauri CDM kama hawatamshauri Lissu kubadili upepo,wategemee anguko kubwa sana 2025.
Kitu cha kujifunza ni kwamba Magu ameishafariki na watawala wa sasa wamejinasibu kuwa kinyume na sera zake,kwa hiyo kuendelea kumnanga marehemu asiyeweza kukujibu wala kujitetea kwa yale unayomsema
ni sawa na wewe kuanza kuishi kwenye ulimwengu wa waliokufa ilihali bado uko kwenye ulimwengu wa walio hai,
Hii inakusababishia sera zako kuwa mfu.unachokwa na kusahaulika kama marehemu.
Sahihi kabisa. Hivi hata akipewa mamlaka leo atamfanya nini magufuri.
 
Acha comment 2,000 hata ingekuwa watanzania wote wamemtetea Magufuli, bado Magufuli alikuwa rais muovu. Hutaki jinyonge.
Muovu kukushinda wewe unaefanya madhambi yako na bado unasemea uongo kuhukumu mtu ambaye unamjua kwa njia ya picha na video tu za mitandaoni.

Wewe magufuri unamjua personally na ulishayashuhudia maovu yake akiwa anapanga au kuyatekeleza?!
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Comments?? Hivi umewahi pita page ya Messi au Ronaldo ama Odinga na Ruto? Huwa wanaoga matusi utadhani hawana mashabiki kabisa.

So hapo CCM inaandaa vijana wote wavamie comment section. So hiyo ni kawaida tu kwa siasa zetu huku za kuchafuana Cha kushangaza unaona ni big deal. Ukitaka kujua Hilo pitia hata jukwaa la mahusiano mtu akisema tu ndoa yake Ina shida ona comments ni kejeli na matusi tu hakuna hata mmoja anayeshauri positively.
 
Muovu kukushinda wewe unaefanya madhambi yako na bado unasemea uongo kuhukumu mtu ambaye unamjua kwa njia ya picha na video tu za mitandaoni.

Wewe magufuri unamjua personally na ulishayashuhudia maovu yake akiwa anapanga au kuyatekeleza?!
Ndio mfano alisema Lissu ni msaliti sababu anawasiliana na Mwanyika (VP wa Acacia) ambaye alisema ndio ametuletea hasara ya trillion 300+, alafu baadae anakuja kumpa Mwanyika ubunge na alimfanyia kampeni kabisa.

Sasa hiyo dhambi ya unafiki na uongo tu inatosha kumfanya muovu.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Tutajie huo uzi wenye comment 2000 tuurejelee.
 
Hata Zitto alipojaribu kumkashfu/kumdhihaki JPM, kwamba anayempenda JPM akazikwe naye, alishushiwa mvua ya mawe kwa kiwango kisichokuwa na kipimo. Tangu hapo aliufyata kimya mpaka leo.
Kwa kifupi kabisa, JPM hagusiki kabisa.
 
Kumbuka pia kura za hao unaowaita wajinga 2,000 siyo sawa na kura ya mwerevu mmoja!
Si mlisema kura hazipigwi Mitandaoni? Kigogo alikua na followers 1 million kwa definition Yako Ina maana upinzani ulikua na kura million 1 before uchaguzi??
 
Sina uhakika kama wazazi wako walitimizwa wajibu wao kama walezi,
Walifanya vizuri sana na ninawasifu kweli kweli kwa maana leo hii ninajua ukweli na uongo na ninachukia dhuluma na uonevu kama aloufanya Magufuli kwa watu wengi.
 
Nimefuatilia Mahojiano ya Lissu, kuna Ile kipande ambapo anaongea vibaya kuhusu Magufuli, sasa nimesoma Comment zaidi ya 2000 katika Comment zote nimeshuhudia ghadhabu ya wananchi juu ya Lissu.

Lissu aliamini kuwa kwa kusema alishambuliwa kwa risasi basi atatia huruma na kuonekana alionewa lakinia ajabu ni kwamba wananchi wamemtukana sana Lissu kisa kumsema vibaya Magufuli. Comment zote zaidi ya 2000 zinamtetea Magufuli.

Kwa hali niliyoona ni wazi kwamba Magufuli hagusiki na ukimgusa jiandae kuchafuka mwenyewe.
Sahihi kabisaa!
IMG-20230204-WA0007.jpg
 
Wapo watu walio aibishwa tu na JPM kwenye mikutano ya hadhara, wanamchukia sana mpaka leo hii, itakuwa huyu ALIYEMIMINIWA risasi kama walikuwa wanataka kuua tembo?
Waswahili wanasema, "UTAMSAHAU ALIYEKUCHEKESHA, LAKINI SIO ALIYEKULIZA!"
Ulinchiluchilu,Wewe kwa ujinga na upumbavu wako unaamini lissu alipigwa risasi na magu?
 
Hata Zitto alipojaribu kumkashfu/kumdhihaki JPM, kwamba anayempenda JPM akazikwe naye, alishushiwa mvua ya mawe kwa kiwango kisichokuwa na kipimo. Tangu hapo aliufyata kimya mpaka leo.
Kwa kifupi kabisa, JPM hagusiki kabisa.
Mi naona zitto alikuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom