Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika
Lakini nikawa navuta fikra, Je ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi?, Nikasema pengine ni kwa "Rhetoric" zake za kutukana Wazungu na kuwaita Mabeberu, lakini Mabeberu hao walipokuwa wakikohoa tu, mzee mzima anagwaya na anatii
Siku hizi ushujaa umekuwa kama ugali... kila mtu anapewa? Ati nini? Kikwete shujaa wa Afrika? Unafikiri kuitwa shujaa wa Afrika ni sawa na kunyoa denge?

Mtu kama Nyerere ndiye alikuwa mmoja wa mashujaa wa Afrika. Kina Nelson Mandela, Patrice Lumumba etc. Walikuwa na maono na mawazo ya hali ya juu. Sasa kama ushujaa wa Afrika utapimwa hizi petty issues ulizoorodhesha kuna rais ambaye hatakuwa shujaa? Mashujaa hawapatikani kirahisi hivyo acha kudhalilisha ushujaa.
 
Kunanamna vijana mnakuwa kama mnawehuka halafu akili zinarudi, na mnapowehuka, akili zikirudi zinarudi kidogo, IPO siku zitawaishia zote

Kikwete ni shujaa wa Africa ipi??
Faida ya sekondari za kata hizi, wasamehe bure. Halafu ni wabishi kweli kweli ndiyo maana hawaelimiki.
 
Siku hizi ushujaa umekuwa kama ugali... kila mtu anapewa? Ati nini? Kikwete shujaa wa Afrika? Unafikiri kuitwa shujaa wa Afrika ni sawa na kunyoa denge? Mtu kama Nyerere ndiye alikuwa mmoja wa mashujaa wa Afrika. Kina Nelson Mandela, Patrice Lumumba etc. Walikuwa na maono na mawazo ya hali ya juu. Sasa kama ushujaa wa Afrika utapimwa hizi petty issues ulizoorodhesha kuna rais ambaye hatakuwa shujaa? Mashujaa hawapatikani kirahisi hivyo acha kudhalilisha ushujaa.

Wapigania uhuru ni mashujaa wa Afrika lakini kabla yao ukisoma historia walikuwepo pia mashujaa wengine wa Afrika na miaka inavyokwenda tutapata mashujaa wengine ikiwemo wasaka amani na wapatanishi, watafiti, wanamichezo, wanadiplomasia, majenerali wa kijeshi, wanamuziki n.k.

Ushujaa hauna monopoly ya mtu mmoja au kizazi kimoja!
 
Ni shujaa kwa kutuletea watu wasio julikana na kulea magenge ya wahuni kama sabaya. Hakika inahitaji ujasiri kiburi na uthubutu wa hali ya juu kwa kiongozi mkuu wa nchi kulea watu wasiojulikana walio kuwa wanafanya dhulma, mauaji, utekaji na ugandamizaji wa hali juu. Hakika katika Afrika kama kiongozi aliyeongoza nchi ya kidemokrasia kwa mkono wa chuma basi nae anaingia katika orodha ya mashujaa.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Wanaosema Magufuli Shujaa wa Afrika Waorodheshe Mambo Makubwa Aliyoifanyia Africa Hata Uenyekiti wa AU hakuwahi kupata
Mikutano ya AU sijui kama alihudhuria Huo USHUJAA ni Wa NINI?
Endeleeni kutanua ni Wakati wenu.
CHADEMA Hamnazo kama Malaya. Mmesahau Nyie kutwa mlikuwa mnamtukana Mzee Kikwete kuwa Anasafiri saaaana, ametuingiza hasara, mlisema anabadilisha Madini na neti za kuzuia Mbu n.k.
So What I seee, Endeleeni tuuuuu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dhalimu awe shujaa!!!!! Kweli Mkuu!?
Kumbuka hapa tunaongelea mahaba na sio akili.....!!

Ukirudisha miaka 7 nyuma muandishi wa uzi huu angeambulia matusi ya nguoni kwa hichi alichokiandika......
 
Watu mtaumia sana kumaliza Mambo ya Magufuli ila amini nawaambia ameacha legacy pia hajafa yupo mioyoni mwa watu muda utaongea katika hili
 
Amongst all his predecessors JPM stands out as the most legendary president who toiled his blood for Africans to benefit from its natural wealthy and resources and that one alone made him a lot of ensmies , he nullified the mangungo wa msovero contracts dwn from those who took us for a ride with our tanzanite , diamonds all the way to the mighty geita gold mining !he dared the imperialist without fear , he held a knife on their neck atleast by now we can breath and have a little share , with that alone he outshines many black silly president who sell their countries to those who enslaved us , viva JPM a hero whose shadow never goes dim , rest peace chuma
 
Hakuna mwenye akili TIMAMU ATAKAYETHUBUTU kumuita dhalimu magufuli kuwa ni Shujaa. Shujaa kwa lipi hasa? Kununua ndege bila idhini ya Bunge? Kujenga chato airport bila idhini ya Bunge? Udikteta wake wa wa kubambikia Watanzania kesi FAKE? Au kuwaua pamoja na kuwa hawana hatia?

Kumbuka hapa tunaongelea mahaba na sio akili.....!!
 
Magufuli hata mikutano ya AU alikuwa haendi, Mikutano ya SADC nayo alikuwa akihudhuria kwa manati
Sasa mtu kama huyu ambaye hata kukutana na wenzie kujadili mambo ya Afrika alikuwa anaona tabu ni shujaa wa namna gani wa Afrika?
Alikuw anasubir mikutano iishe aanzie alipoishia kuichakata tz
 
Hakuna mwenye akili TIMAMU ATAKAYETHUBUTU kumuita dhalimu magufuli kuwa ni Shujaa. Shujaa kwa lipi hasa? Kununua ndege bila idhini ya Bunge? Kujenga chato airport bila idhini ya Bunge? Udikteta wake wa wa kubambikia Watanzania kesi FAKE? Au kuwaua pamoja na kuwa hawana hatia?
Kumbuka mapenzi ni upofu mpwa....waliofaidika na udhalimu wake wanamuona shujaa na walio athirika na udhalimu wanamuona shetani.....ubaya au uzuri wa mtu inategemea unamtazama kupitia angle gani....??
 
Back
Top Bottom