Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yangu: Kikwete hana sifa ya kuwa hata shujaa wa Tanzania sembuse Afrika! Hayo mengine ni ''kiswahili murefu tu''Wapigania uhuru ni mashujaa wa Afrika lakini kabla yao ukisoma historia walikuwepo pia mashujaa wengine wa Afrika na miaka inavyokwenda tutapata mashujaa wengine ikiwemo wasaka amani na wapatanishi, watafiti, wanamichezo, wanadiplomasia, majenerali wa kijeshi, wanamuziki n.k.
Ushujaa hauna monopoly ya mtu mmoja au kizazi kimoja!
Naweza badili uraiaInawezekana ushujaa wa mtu unachukua muda kuonekana.....usije kushangaa miaka ijayo Magufuli akatangazwa baba wa taifa.....!!!
IdiotAmongst all his predecessors JPM stands out as the most legendary president who toiled his blood for Africans to benefit from its natural wealthy and resources and that one alone made him a lot of ensmies , he nullified the mangungo wa msovero contracts dwn from those who took us for a ride with our tanzanite , diamonds all the way to the mighty geita gold mining !he dared the imperialist without fear , he held a knife on their neck atleast by now we can breath and have a little share , with that alone he outshines many black silly president who sell their countries to those who enslaved us , viva JPM a hero whose shadow never goes dim , rest peace chuma
Argue with facts ,Idiot
Ila watanzania bwana Kikwete shujaa wa Africa? Rais anaulizwa kwa nini nchi yako ina rasilimali nyingi lakini ni masikini anajibu HATA MIMI SIJUI. kazi yake ilikuwa kama VASCO DAGAMA hapa kuna ushujaa wowote,naomba sana tuelewane kwamba ushujaa haujawahi kuwa mwepesi kiasi hicho.Africa has so many Heroes but Kikwete is not among those Shujaa. He is just another very corrupt government official.
Kumbuka mapenzi ni upofu mpwa....waliofaidika na udhalimu wake wanamuona shujaa na walio athirika na udhalimu wanamuona shetani.....ubaya au uzuri wa mtu inategemea unamtazama kupitia angle gani....??
Tofautisha figurative speech, rhetoric na factual statement.Ila watanzania bwana Kikwete shujaa wa Africa? Rais anaulizwa kwa nini nchi yako ina rasilimali nyingi lakini ni masikini anajibu HATA MIMI SIJUI. kazi yake ilikuwa kama VASCO DAGAMA hapa kuna ushujaa wowote,naomba sana tuelewane kwamba ushujaa haujawahi kuwa mwepesi kiasi hicho.
Hata Chato hawamtakiTBC naomba siku mkionyesha kumbukumbu za msiba wa magu andikeni SHUJAA WA CHATO
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ila bado kwako Magufuli ni shujaa wa Africa..Siku hizi ushujaa umekuwa kama ugali... kila mtu anapewa? Ati nini? Kikwete shujaa wa Afrika? Unafikiri kuitwa shujaa wa Afrika ni sawa na kunyoa denge?
Mtu kama Nyerere ndiye alikuwa mmoja wa mashujaa wa Afrika. Kina Nelson Mandela, Patrice Lumumba etc. Walikuwa na maono na mawazo ya hali ya juu. Sasa kama ushujaa wa Afrika utapimwa hizi petty issues ulizoorodhesha kuna rais ambaye hatakuwa shujaa? Mashujaa hawapatikani kirahisi hivyo acha kudhalilisha ushujaa.
Nimeandika wapi Magufuli ni shujaa? Jamani someni na kuelewa comment kabla ya kujibu. Ile ile hali ya kukariri kuwa usipokuwa Simba basi ni Yanga! Nimeandika hivi: ''Siku hizi ushujaa umekuwa kama ugali... kila mtu anapewa? Ati nini? Kikwete shujaa wa Afrika? Unafikiri kuitwa shujaa wa Afrika ni sawa na kunyoa denge?Ila bado kwako Magufuli ni shujaa
Hii itaendelea kuwa ndoto.... Nyerere kalifanyia mambo makubwa sana taifa hili na ndomana mpk leo tuna nyerere day na si magufuli dayInawezekana ushujaa wa mtu unachukua muda kuonekana.....usije kushangaa miaka ijayo Magufuli akatangazwa baba wa taifa.....!!!
Kwani Mzee Mohamed Said yeye asemaje?Hii itaendelea kuwa ndoto.... Nyerere kalifanyia mambo makubwa sana taifa hili na ndomana mpk leo tuna nyerere day na si magufuli day
Dhaifu ni kauli ya kisiasa tu. Kuitwa dhaifu hakumfanyi asiye dhaifu awe dhaifu.Kutoka kuwa rais dhaifu Tanzania hadi kuwa shujaa wa afrika, hii yote inasababishwa na kuendelea kuwa na chuki kwa mtu ambaye ameshajifia zake matokeo yake unajitesa tu mwenyewe.