Sijui hawa Mataga pamoja na Ayoub Rioba wa TBC watakuelewa?Wanaosema Magufuli Shujaa wa Afrika Waorodheshe Mambo Makubwa Aliyoifanyia Africa Hata Uenyekiti wa AU hakuwahi kupata
Mikutano ya AU sijui kama alihudhuria Huo USHUJAA ni Wa NINI?
Siku hizi ushujaa umekuwa kama ugali... kila mtu anapewa? Ati nini? Kikwete shujaa wa Afrika? Unafikiri kuitwa shujaa wa Afrika ni sawa na kunyoa denge?Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika
Lakini nikawa navuta fikra, Je ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi?, Nikasema pengine ni kwa "Rhetoric" zake za kutukana Wazungu na kuwaita Mabeberu, lakini Mabeberu hao walipokuwa wakikohoa tu, mzee mzima anagwaya na anatii
Ova.TBC naomba siku mkionyesha kumbukumbu za msiba wa magu andikeni SHUJAA WA CHATO
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Afrika haijawahi kuwa na shujaa yeyote yule au vipi?
Faida ya sekondari za kata hizi, wasamehe bure. Halafu ni wabishi kweli kweli ndiyo maana hawaelimiki.Kunanamna vijana mnakuwa kama mnawehuka halafu akili zinarudi, na mnapowehuka, akili zikirudi zinarudi kidogo, IPO siku zitawaishia zote
Kikwete ni shujaa wa Africa ipi??
Siku hizi ushujaa umekuwa kama ugali... kila mtu anapewa? Ati nini? Kikwete shujaa wa Afrika? Unafikiri kuitwa shujaa wa Afrika ni sawa na kunyoa denge? Mtu kama Nyerere ndiye alikuwa mmoja wa mashujaa wa Afrika. Kina Nelson Mandela, Patrice Lumumba etc. Walikuwa na maono na mawazo ya hali ya juu. Sasa kama ushujaa wa Afrika utapimwa hizi petty issues ulizoorodhesha kuna rais ambaye hatakuwa shujaa? Mashujaa hawapatikani kirahisi hivyo acha kudhalilisha ushujaa.
Mkuu haya ndio yanaitwa mahaba....
Duh! kama Afrika ina shujaa mmoja tu, basi hili bara litakuwa bara la giza!
Inawezekana ushujaa wa mtu unachukua muda kuonekana.....usije kushangaa miaka ijayo Magufuli akatangazwa baba wa taifa.....!!!Mahaba based on the TRUTH Mkuu.
Endeleeni kutanua ni Wakati wenu.Wanaosema Magufuli Shujaa wa Afrika Waorodheshe Mambo Makubwa Aliyoifanyia Africa Hata Uenyekiti wa AU hakuwahi kupata
Mikutano ya AU sijui kama alihudhuria Huo USHUJAA ni Wa NINI?
Inawezekana ushujaa wa mtu unachukua muda kuonekana.....usije kushangaa miaka ijayo Magufuli akatangazwa baba wa taifa.....!!!
Kumbuka hapa tunaongelea mahaba na sio akili.....!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dhalimu awe shujaa!!!!! Kweli Mkuu!?
Kumbuka hapa tunaongelea mahaba na sio akili.....!!
Shujaa wa watu wasiojulikana na udhalimu Afrika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dhalimu awe shujaa!!!!! Kweli Mkuu!?
Alikuw anasubir mikutano iishe aanzie alipoishia kuichakata tzMagufuli hata mikutano ya AU alikuwa haendi, Mikutano ya SADC nayo alikuwa akihudhuria kwa manati
Sasa mtu kama huyu ambaye hata kukutana na wenzie kujadili mambo ya Afrika alikuwa anaona tabu ni shujaa wa namna gani wa Afrika?
Kumbuka mapenzi ni upofu mpwa....waliofaidika na udhalimu wake wanamuona shujaa na walio athirika na udhalimu wanamuona shetani.....ubaya au uzuri wa mtu inategemea unamtazama kupitia angle gani....??Hakuna mwenye akili TIMAMU ATAKAYETHUBUTU kumuita dhalimu magufuli kuwa ni Shujaa. Shujaa kwa lipi hasa? Kununua ndege bila idhini ya Bunge? Kujenga chato airport bila idhini ya Bunge? Udikteta wake wa wa kubambikia Watanzania kesi FAKE? Au kuwaua pamoja na kuwa hawana hatia?