Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika lakini nikawa navuta fikra. Je, ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi?, Nikasema pengine ni kwa "Rhetoric" zake za kutukana Wazungu na kuwaita Mabeberu, lakini Mabeberu hao walipokuwa wakikohoa tu, mzee mzima anagwaya na anatii.

Kiufupi Magufuli alikuwa akiogopa sana Kibinyo cha Wazungu kuliko kelele za raia wake wenyewe. Tuliona kwa mfano “Mabeberu" wakimwambia abadilishe sheria za takwimu na akatii, Walimwambia aruhusu watoto wajawazito waendelee na masomo akabadili mwelekeo. "Mabeberu" ndiyo walioingilia kati Lissu apewe safe passage kurudi Ulaya na serikali ya Magufuli ikampa na passport kabisa, la sivyo habari leo hii ingeukwa nyingine!.

Mfano mwingine ni kwenye Makubaliano na Barick kuhusu mustakbali wa kampuni hiyo juu ya uchimbaji madini nchini, Kabla ya makubaliano hayo Serikali ya Magufuli ilipeleka muswada chapuchapu bungeni juu ya rasilamli zetu, na mle ndani sheria iliyotengenezwa ikasema Makinikia yatakuwa yanachenjuliwa hapahapa Tanzania, Lakini cha ajabu kwenye makubaliano na Barick mwaka mmoja au miwili baadae akavunja sheria yake mwenyewe, kwa kuruhusu makinikia yawe yanasafirishwa nje!. Sasa hiyo hype ya kuwa alipambana na Mabeberu inatoka wapi?

Najiuliza ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi wakati dalili zote za aina ya uongozi wake ilikuwa ni kutaka kuturudisha kwenye Afrika ya kale ambapo mtawala akiongea hakuna wa kuquestion la sivyo utakiona cha mtema kuni. Kiufupi Magufuli aliparalyse mifumo ambayo ingeijenga nchi kusimama kitaasisi na badala yake akaanza kutunga sheria na kufanya matendo ambayo yanazidi kumlibikizia yeye madaraka, chukulia mfano sheria ya rasilimali za Taifa, Hiyo sheria ilienda kuweka madini yote chini ya ofisi ya rais

Kwa kweli nikiangalia kitu chochote exclusive ambacho Magufuli amefanya kwa ajili ya Afrika nzima ni kama hakuna!

Lakini hii ni tofauti na Mstaafu Kikwete, Kikwete kuna mambo aliyafanya naweza kusema bila wasiwasi na kwa rekodi kuwa huyu mwana wa Afrika anastahili kupewa heshima yake na Afrika nzima

1. Kikwete alishiriki katika Usuluhishi wa Kenya
Baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2007,wakati Wakenya wakichinjana na kuhasimiana kitu kilichohatarisha kuzuka kwa vita ya wenyewe kwa Wenyewe, Rais Kikwete aliingilia kati kusuluhisha kambi hasimu za Raila Odinga na Mwai Kibaki, Pamoja na Juhudi za Kikwete pia walikuwepo marais wastaafu wa Afrika akiwemo hayati Mkapa. Ni kutokana na kazi hii Nchi ya Kenya ilimpa heshima ndugu Kikwete kuhutubia mabunge mawili ya Kenya, heshima ambayo ilikuwa hajawahi kupewa rais yeyote wa Tanzania kabla yake. Pia kwa kutambua kazi ya kikwete kwenye kuleta amani Kenya, barabara moja nchini Kenya , jijini nairobi ilibadilishwa na kupewa jina lake

2. Kikwete ainusuru Comoro dhidi ya kikosi cha Wahuni cha kanali Bacar
Wakati Comoro ikiwa inaelekea katika mtanzuko wa machafuko baada ya kikosi cha Muasi Kanali Bacar kuasi, Ni dhahiri visiwa hivi vya Comoro vingekuwa katika machafuko makubwa ikiwemo umwagaji damu, Ilikuwa ni Intervention ya Rais Kikwete kupeleka jeshi letu la JWTZ kwenda kuweka mambo sawa. JWTZ walipiga kazi nzuri na ndani ya wiki moja nchi ile ikawa imeshakuwa stabilized. Je ni watu wangap wangeuawa kama si kwa intervention ya Tanznaia, Ni wanawake wangapi wangebakwa?.Ikumbukwe siyo JK wa kwanza kuisapoti Comoro kijeshi, Hata mwalimu Nyerere amewahi kuisaidia Comoro ili kupambana na wakoloni wa ufaransa.

3. Kikwete ainusuru Congo dhidi ya Wahuni wa M23
Hawa wanayarwanda walikuwa wakiiba mali, kuua watu congo, Ni mpaka Viongozi wenye maono kama Kikwete waliojitolea kuendesha mission ya UN ya kuwadhibiti hao waasi. JWTZ kwa kushirikiana na majeshi ya Afrika ya kusini na Malawi walifanya kazi nzuri sana ya kuwadhibiti hao akina Jenerali Nkunda. Bila shaka ukiwauliza watu wa mashariki ya Congo kuhusu Intervention hiyo ya Kikwete, watakwambia huyu mtu ni shujaa wao

4. Usuluhishi wa Mgogoro Madagascar
Hali ya Madagascar ilikuwa imeshakuwa tete, magonvi na kupinduana kukiwa kumeiweka ile nchi katika hali ya sintofahamu, hali ya hofu mitaani. Ilikuwa ni kazi nzuri ya Kikwete kutafuta usuluhishi wa kisiasa huko

Maandiko yanasema heri wapatanishi!

Nikimpima Kikwete na Magufuli katika kutafuta ustawi wa bara la afrika, ikiwemo usuluhishi na upatanaishi, kutafuta amani ya watu wake, Kwa kweli Kikwete aliifanyia makubwa Afrika. Huyu anafaa kuitwa shujaa wa Afrika katika viongozi wa rika la hivi karibuni.

Magufuli yeye ni shujaa wa Afrika katika lipi?
Hahahaha....kwa kwel magu alikuwa jembe kwel kwel..na bado ni jembee haswaaaa...yaan pamoja na kuondoka kwake kuna vinyau nyau vinaitwa missile of the toilet vinajamba jamba tuu huku duniani na kivuli chake..
Lol! Ama hakika Rest in Power JPM..you will always be remembered by your friends and enermies...hakika uliwatingisha wapuuzi wa hii nchi ya bongo bahati mbayaa..
Shenzi zao..huu ndo wakati wao sasa kutumbua vizuri hii nchi..
Wacha tukae kimyaa wazalendo..atatokea tu mwingine kama ww..
 
Magufuli hata mikutano ya AU alikuwa haendi, Mikutano ya SADC nayo alikuwa akihudhuria kwa manati. Sasa mtu kama huyu ambaye hata kukutana na wenzie kujadili mambo ya Afrika alikuwa anaona tabu ni shujaa wa namna gani wa Afrika?
Toka walipoanza kukutana hao waafrica walifanikisha nini? Zaidi ya kujengewe makao makuu ya africa pale ethiopia na wachina walioweka mitandao yao pale huku wakiwarecord yote wanayofanya mchana..
Kukaa kuongea na viongozi wa kiafrica ni kupoteza muda..wote ni manyau tuu..
Wengine wanaitwa na rais wa ufaransa kujadli jins ya kuinua uchumi wa africa wakat huo huo mfaransa anaiba mali za wakongo..anaiba mafuta ya chard..
Viongoz wa africa walishaondoka na africa yao..
Kina Nkurumah, Nyerere, Mandela, Sanacra n.k.
Waliobaki ni wachumba wa wakoloni tuu..
 
Unaonaje kuhusu hizi nukta.

1. Kuwapiga wale akina Jenerali Nkunda wa M23, siyo ushujaa na jambo zuri kwa Afrika?

2. Kuingia Front na kusuluhisha mgogoro wa Kenya wasiingie kwenye vita mbaya ya kikabila na ya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2007, Siyo ushujaa na jambo zuri kwa Afrika?

3. Kuwatwanga Waasi wa Comoro, na kurejesha Amani huko Siyo ushujaa na jambo zuri kwa Afrika?

4. Kusuluhusha Magomvi Madagascar na kurejesha Amani siyo jambo zuri kwa Afrika

Kwenye hii mada sijaona mtu anayejadili hoja hizo zaidi ya matusi mawili matatu ya rejareja na kebehi ndogondogo za hapa na pale
 
Tatizo ushujaa wenyewe ni wa kulinganisha kati ya JK na JPM, kama hayo mambo yanamfanya JK kuwa shujaa basi asingekuwa anaonekana ni rais dhaifu katika utawala wake.
Sasa ndio maana watu wanashangaa kwamba Rais dhaifu katika nchi yake anakuaje tena kuwa ndio shujaa wa bara zima?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kunanamna vijana mnakuwa kama mnawehuka halafu akili zinarudi, na mnapowehuka, akili zikirudi zinarudi kidogo, IPO siku zitawaishia zote

Kikwete ni shujaa wa Africa ipi??
Ni wazi kuwa umerukia uzi huuu!! Ku respond tu!!Hujamsoma mleta Mada.anachosema...

na km umeusoma kweli!! Basi ukilaza wa somo la georaphy ulipata sifuri....either ulikuwa mtoro sana msubilia kiporo kwa bibi.

au ulikuwa na Waalimu wa somo hilo wale wa UPE!! Wasiojua kufundisha weupe kichwani.

Sifa za kikwete umepewa hapo wazi.
Unauliza kikwete ni shujaa wa africa ipi??

Kwani africa ziko ngapi??

Wimbo wa taifa tunaimba "Mungu ibariki Africa" kila siku. Kuuumbee !!wewe mwenzetu una africa nyingi kichwani??

Unadhani Africa ni Bongo tu au....dadavua tukusaidie bure bado unasoma primary???
 
Nilidhani umekuja kujibu ni Africa ipi inayoweza kuwa na shujaa mbembea mabembea!!?
 
Tatizo la kukaa kijijini sana hili kwani kubembea ni kosa ndugu??

Baada ya kazi unaburudika na lolote ulipendalo wewe unataka kazi kazi km Magu??

Utakufa ghafla!! Kikwete alisoma akaelewa ujue...
 
Kumbe nasumbuka na wanaume wa dar! Basi Endelea kukata mauno Mbele ya wanaume wenzako
 
Acha hizo wewe.bila Dar nyie si kitu. Haichakai hii Dar yetu.Tunaipenda, hata uinange vepe haturudi mbwinde. ng'ooo!! Ndo kwaaanza tunajikita.

Ile ni Disco dancer wewe!! Acha ushamba Kumbe unadhani tunakata mauno??? Ptyuuu!kaazi kwelikweli!

Navokuona wewe Ukifanya masihara utatoa nyaa kwa kuiga dar!!!hayaaa!!

Jiwe na jeuri yake yooote ya kujifanya kujenga chato I/air port eti aipiku Dar lkn.

Aliishi Dar
kaugulia dar.
Kaagwa Dar kwanza.
Kalala dar dakika za mwisho
Kaonwa Dar
Katibiwa na manesi wa Dar
Alipata urais Dar
Alilala Dar siku zote
kafia Dar
Kapandishwa gari la Dar.
Huyo ni mjanja wenu sasa weee nani..uiponde Dar km siyo maumivu ya roho?????

Dsm raha banawee!! Kila siku ni siku kuu!! utaisikia tu.
Pilau za kuumuka za mbuzi bwena Bwena

Biriani za kila rangi utakula tena bei rahisi tu!!unachagua tu leo viwanja wapi.nyama choma za upepo utazijua Dar.

Popo wa kuoka weee!!lami mpaka jikoni.air cond. Mitaani bwena.

huko kwenu katavi mtapata wapi huu uhondo?!! Watoto wa Dar wake kwa waume wanapendezaaa wororoooo!!! Mama weee!!niseme niniiii.....au

umerogwa usichomoke huko???na bado wakaze kamba tu. mtatuchafulia jiji letu.
kwa taarifa tu sisi tukitoka Dar Zaidi ni ughaibuni tu kwa Joe biden. then twarudi Dar.

Chanjo za Covid zitaanzia Dar yetu! yaani sisi wana bongo Tukipotea njia saana Arusha ndo wanatukaribia kidoogo.

Dar hoyeeeeeeeeeeeeeeee!........wa Dar jibuni jamani tuna bahati kukaa humu.

Na yeyote mwana Dar anae,
tusaliti
Tukana hovyo
tupiga majungu
Dharau
Lazima anakufa kifo cha hovyo tu kisicho heshima km yaliyomkuta naniliu huyu!!!!.... alikufa juzi juzi hapa sijui alirogwa na nani hata kuemea alete ndani alishindwa nani... yule msema ovyo wa Bara nisaidie basi.....alikuwa na kazi km ya kikwete naniii......vile...ahaa!!nikikumbuka ntakuja.
 
Kjk shujaa wa kutapanya Mali za umma, escrow,epa,madini,wanyama, na ujasiliamali wa ngada.

Ova!
 
Hauna maneno ya kuudhi hata kidogo, nahisi kukupenda, kwani umeolewa?
 
Ila, jitahidi tu, usitaniane na mwenye uhai wake Kwa kuwasema vibaya ambao amewachukulia uhai wao, na usijue kuwa huwenda zamu ya waleo kuondolewa uhai, ukawemo na wewe!!

Mshukuru Mungu Kwa kuwa wewe leo umeiona
 
Wanaosema alikuwa shujaa wa afrika walitumia vigezo vipi
 
Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika lakini nikawa navuta fikra. Je, ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi?, Nikasema pengine ni kwa "Rhetoric" zake za kutukana Wazungu na kuwaita Mabeberu, lakini Mabeberu hao walipokuwa wakikohoa tu, mzee mzima anagwaya na anatii.

Kiufupi Magufuli alikuwa akiogopa sana Kibinyo cha Wazungu kuliko kelele za raia wake wenyewe. Tuliona kwa mfano “Mabeberu" wakimwambia abadilishe sheria za takwimu na akatii, Walimwambia aruhusu watoto wajawazito waendelee na masomo akabadili mwelekeo. "Mabeberu" ndiyo walioingilia kati Lissu apewe safe passage kurudi Ulaya na serikali ya Magufuli ikampa na passport kabisa, la sivyo habari leo hii ingeukwa nyingine!.

Mfano mwingine ni kwenye Makubaliano na Barick kuhusu mustakbali wa kampuni hiyo juu ya uchimbaji madini nchini, Kabla ya makubaliano hayo Serikali ya Magufuli ilipeleka muswada chapuchapu bungeni juu ya rasilamli zetu, na mle ndani sheria iliyotengenezwa ikasema Makinikia yatakuwa yanachenjuliwa hapahapa Tanzania, Lakini cha ajabu kwenye makubaliano na Barick mwaka mmoja au miwili baadae akavunja sheria yake mwenyewe, kwa kuruhusu makinikia yawe yanasafirishwa nje!. Sasa hiyo hype ya kuwa alipambana na Mabeberu inatoka wapi?

Najiuliza ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi wakati dalili zote za aina ya uongozi wake ilikuwa ni kutaka kuturudisha kwenye Afrika ya kale ambapo mtawala akiongea hakuna wa kuquestion la sivyo utakiona cha mtema kuni. Kiufupi Magufuli aliparalyse mifumo ambayo ingeijenga nchi kusimama kitaasisi na badala yake akaanza kutunga sheria na kufanya matendo ambayo yanazidi kumlibikizia yeye madaraka, chukulia mfano sheria ya rasilimali za Taifa, Hiyo sheria ilienda kuweka madini yote chini ya ofisi ya rais

Kwa kweli nikiangalia kitu chochote exclusive ambacho Magufuli amefanya kwa ajili ya Afrika nzima ni kama hakuna!

Lakini hii ni tofauti na Mstaafu Kikwete, Kikwete kuna mambo aliyafanya naweza kusema bila wasiwasi na kwa rekodi kuwa huyu mwana wa Afrika anastahili kupewa heshima yake na Afrika nzima

1. Kikwete alishiriki katika Usuluhishi wa Kenya
Baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2007,wakati Wakenya wakichinjana na kuhasimiana kitu kilichohatarisha kuzuka kwa vita ya wenyewe kwa Wenyewe, Rais Kikwete aliingilia kati kusuluhisha kambi hasimu za Raila Odinga na Mwai Kibaki, Pamoja na Juhudi za Kikwete pia walikuwepo marais wastaafu wa Afrika akiwemo hayati Mkapa. Ni kutokana na kazi hii Nchi ya Kenya ilimpa heshima ndugu Kikwete kuhutubia mabunge mawili ya Kenya, heshima ambayo ilikuwa hajawahi kupewa rais yeyote wa Tanzania kabla yake. Pia kwa kutambua kazi ya kikwete kwenye kuleta amani Kenya, barabara moja nchini Kenya , jijini nairobi ilibadilishwa na kupewa jina lake

2. Kikwete ainusuru Comoro dhidi ya kikosi cha Wahuni cha kanali Bacar
Wakati Comoro ikiwa inaelekea katika mtanzuko wa machafuko baada ya kikosi cha Muasi Kanali Bacar kuasi, Ni dhahiri visiwa hivi vya Comoro vingekuwa katika machafuko makubwa ikiwemo umwagaji damu, Ilikuwa ni Intervention ya Rais Kikwete kupeleka jeshi letu la JWTZ kwenda kuweka mambo sawa. JWTZ walipiga kazi nzuri na ndani ya wiki moja nchi ile ikawa imeshakuwa stabilized. Je ni watu wangap wangeuawa kama si kwa intervention ya Tanznaia, Ni wanawake wangapi wangebakwa?.Ikumbukwe siyo JK wa kwanza kuisapoti Comoro kijeshi, Hata mwalimu Nyerere amewahi kuisaidia Comoro ili kupambana na wakoloni wa ufaransa.

3. Kikwete ainusuru Congo dhidi ya Wahuni wa M23
Hawa wanayarwanda walikuwa wakiiba mali, kuua watu congo, Ni mpaka Viongozi wenye maono kama Kikwete waliojitolea kuendesha mission ya UN ya kuwadhibiti hao waasi. JWTZ kwa kushirikiana na majeshi ya Afrika ya kusini na Malawi walifanya kazi nzuri sana ya kuwadhibiti hao akina Jenerali Nkunda. Bila shaka ukiwauliza watu wa mashariki ya Congo kuhusu Intervention hiyo ya Kikwete, watakwambia huyu mtu ni shujaa wao

4. Usuluhishi wa Mgogoro Madagascar
Hali ya Madagascar ilikuwa imeshakuwa tete, magonvi na kupinduana kukiwa kumeiweka ile nchi katika hali ya sintofahamu, hali ya hofu mitaani. Ilikuwa ni kazi nzuri ya Kikwete kutafuta usuluhishi wa kisiasa huko

Maandiko yanasema heri wapatanishi!

Nikimpima Kikwete na Magufuli katika kutafuta ustawi wa bara la afrika, ikiwemo usuluhishi na upatanaishi, kutafuta amani ya watu wake, Kwa kweli Kikwete aliifanyia makubwa Afrika. Huyu anafaa kuitwa shujaa wa Afrika katika viongozi wa rika la hivi karibuni.

Magufuli yeye ni shujaa wa Afrika katika lipi?

it won't save any purpose......
kuna wanao muona JPM alikuwa shujaa wa Africa ...kuna wengine wanamuona JK ni shujaa...
 
Wapuuzi wana shujaa wao, majambazi wana shujaa wao, wezi wana shujaa wao, mabondia wana shujaa wao. Inategemea unasifu kwa lipi. We endelea na Kikwete wako! Sisi tunamkumbuka kwa uzembe wake;
1. Mirahaba iliingia mifukoni mwake
2. mapadri waliuwawa
3. warioba alipigwa
4. escrow iliibiwa
5. makanisa yalichomwa moto
6. walevi walipewa wizara kuongoza
7. walimnunulia suti walitajirika
8. nyumba ndogo zilideka
9. Masheikh wa uamsho walitiwa ndani
10. Z'bar walijitangazia nchi
 
Dhaifu kuwa shujaa, mbona ni contradiction!
Aliwapiga M23 na kusaidia kuleya amani Congo.

Aliwaiga, waasi wa Comoro na kusaidia kuleta amani Komoro.

Alisuluhisha Mgogoro wa Kenya ba kusaidia kuleta amani Kenya

Akisuluhisha mgogoro Adagsscar na kusaidia kuleta amani Madagascar

Je huyo siyo shujaa wa Afrika?
 
Wapuuzi wana shujaa wao, majambazi wana shujaa wao, wezi wana shujaa wao, mabondia wana shujaa wao. Inategemea unasifu kwa lipi. We endelea na Kikwete wako! Sisi tunamkumbuka kwa uzembe wake;
1. Mirahaba iliingia mifukoni mwake
2. mapadri waliuwawa
3. warioba alipigwa
4. escrow iliibiwa
5. makanisa yalichomwa moto
6. walevi walipewa wizara kuongoza
7. walimnunulia suti walitajirika
8. nyumba ndogo zilideka
9. Masheikh wa uamsho walitiwa ndani
10. Z'bar walijitangazia nchi
Ukiangalia internal issues kama hizo basi Afrika itakosa shujaa maana hata Nyerere alikuwa na mapungufu yake, ikiwemo kupora mali za watu kwa jina ka Utaifishaji, Kusapoti waasi wa Biafra, kuebdesha ziezi la vijiji vya ujamaa alipokwenda kuwatupa watu ambao wengine wakiishi kwa Tabu na mateso makubwa, Udikteta wa zidumu fkra za mwenyekiti, Kulea waharibifu mtu anaharibu shirika moja unamhamishia shirika jingine

Anfalia wider issues achaba na changamoto za ndani
 
Back
Top Bottom