Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
25,522
Reaction score
40,795
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema. Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo kwenye Sheria za Jinai za Tanzania.

Hili ni jambo la kutafakari sana kuhusu uhuru wa mahakama zetu Tanzania.
 
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema.

Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo.
 
Kesi ya kisiasa
Chuki
Hasara
Uonevu
Husuda
Misuse of power
Wajinga wachache waliopewa madaraka
Mahakama zinafuata Serikali inasema nini
Ingekua kesi km hizi majaji wanachukua rushwa ingekua ishaisha ila kwa sababu Serikali na wenye maamuzi huwamua uendeshaji wa kesi hizi za kisiasa basi tusubiri na kuona
 
Kesi ya Kisiasa hii.

Lengo kumkomoa Lissu na Chadema.
 
Politically motivated case, wasivyo na haya watasema Umma ni pamoja na kundi fulani au mtu fulani!
 
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema.

Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo.
'Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi wala kuaminika kwake' Jaji Ndunguru
 
Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.

Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema.

Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo.
Mkuu wanaotumika kwenye huo upuuzi wa maagizo toka juu ni hawa majaji. Ni sawa na yule jaji aliyemtangaza Samia kwa kura 31m za uongo. Sio kwamba hao majaji wanapenda, lakini wanafanyaje. Wanajua wakigoma kufuata maelekezo watatekwa, ama kuhujumiwa mafao yao, ama kwenye tume za michongo baada ya kustaafu. Hapo walipo wako kwenye wakati mgumu sana, wasimamie sheria/haki ama maagizo toka juu.
 
Kesi ya kisiasa
Chuki
Hasara
Uonevu
Husuda
Misuse of power
Wajinga wachache waliopewa madaraka
Mahakama zinafuata Serikali inasema nini
Ingekua kesi km hizi majaji wanachukua rushwa ingekua ishaisha ila kwa sababu Serikali na wenye maamuzi huwamua uendeshaji wa kesi hizi za kisiasa basi tusubiri na kuona
Mahakama zetu sio huru kabisa. Wameshindwa hata kutoa ruhusa Jamhuri wafanye marekebisho
 
Back
Top Bottom