Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

Mjomba Tundu Lissu kanasa kwenye tundu bovu

Uku Majaji MACCM uku unataka wakutendea Haki Ucholopoke Lupango

Pole yake Lissu
Kajiweka kikaangoni Mwaka na nusu sasa✍️
 
Mnaanza kujipangia matokeo yenu
Na hukumu zenu

Msiende tu Mahakamani kama unajijua una presha na ipo juu
Msiwape tabu watu kuja
kukupepea 🫎🫎
Mimi sipangi matokeo. Naongelea shtaka ambalo sio sahihi
 
Mengine tuwaachie Majaji wetu wa CCM
Kama Lissu anavyowaita🤠🤠
Majaji wa CCM . Kama yule Jaji mkuu Ramadhani, akazingua kwenye mgombea binafsi ili kufurahisha CCM , ila mwisho wa siku CCM wakamtosa kwenye urais akabaki na mafustrations hadi kufa. Majaji wa kijinga. Unaminya haki kisa CCM na urais. Very stupid
 
Mjomba Tundu Lissu kanasa kwenye tundu bovu

Uku Majaji MACCM uku unataka wakutendea Haki Ucholopoke Lupango

Pole yake Lissu
Kajiweka kikaangoni Mwaka na nusu sasa✍️
Kanasa kwenye Nini? Au wewe ni ushabiki tu?. Umesikiliza submission ya Leo? Wapi kakamatika? Ila kwa wale majaji vilaza lazima muwe na ujasiri ya kwamba mtashinda
 
Ikumbukwe kuna mashahidi walitoa ushahidi kwamba baada ya kusikiliza hotuba ile "WALIHAMASIKA".

Those are persons and their particulars are known!
Hao ni mashahidi Mimi naongelea charge. Unamshataki mtu kwa kosa lisilokuwepo hata hao mashahidi wanapotezwa muda tu.
 
Itabidi wamlipe fidia. Maana mwanzo wa kesi aliweka pingamizi kwamba shtaka alioneshi kosa, mahakama ikasema twende tu.
Hakuna sheria ya kulipwa fidia ukishinda kesi ya jinai.
 
Ok. Basi naona akiachiwa na kukamatwa tena kufunguliwa mashtaka upya!
Kesi za Jinai haziendi kama unavyotaka. Zina utaratibu wake. Ukamataji unakuwa mwanzo kwenye holding charge. Hivyo Stage ya kukamata imeisha imeshaisha, kwa Sasa ni stage ya submission na hatimaye hukumu. Hukumu ikimkuta hana hatia huwezi kumkamata Tena kwa kosa hilo la uhaini.
 
Ok. Mara ngapi washtakiwa wameachiwa na kukamatiwa maeneo hayo hayo ya mahakama soon thereafter?
 
Ndio nimesema atafunguliwa mashtaka upya. That's what is going to happen ikitokea ameshinda kesi.
Kwa Sheria ipi?. Huwezi kufungua kesi mpya ikishafika kwenye judgment na mtuhumiwa kushinda . Labda kukata rufaa.
 
Ok. Mara ngapi washtakiwa wameachiwa na kukamatiwa maeneo hayo hayo ya mahakama soon thereafter?
Walikuwa hawajafika kwenye judgment. Hapo ni kwenye hatua za awali. Kwa maana nyingine walikuwa wameweka kizuizini kwa holding charge Sasa baada ya mashtaka kujiridhisha Kuna kosa limefanyika wanafuta mashtaka ya kumweka kizuizini na kufungua mashtaka mapya ambayo Wana uhakika nayo. Ndipo mtuhumiwa anakamatwa Tena.
 
Back
Top Bottom