Ikumbukwe kuna mashahidi walitoa ushahidi kwamba baada ya kusikiliza hotuba ile "WALIHAMASIKA".
Those are persons and their particulars are known!
Sana, wanafanya bora liende..!Kwa kweli tunatumia mahakama vibaya
Mtoto wa shekhe. Vipi nina dili la sinia ya ubwabwa. Njoo inboxMnaanza kujipangia matokeo yenu
Na hukumu zenu
Msiende tu Mahakamani kama unajijua una presha na ipo juu
Msiwape tabu watu kuja
kukupepea 🫎🫎
Hapa ndipo aliwabana sanaYani hawana pa kutokea. Wamesema alitishia serikali lakini mahakama ikazuia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu (wa wakati huo) kuja mahakamani kueleza namna walivyotishwa.
Labda walinogewa na darasa analotoa 😂Itabidi wamlipe fidia. Maana mwanzo wa kesi aliweka pingamizi kwamba shtaka alioneshi kosa, mahakama ikasema twende tu.
Hakuna ubatili, lisu ni mhaini, anastahili kunyongwaOk. Lakini tayari kesi ni batili. Kwa maana nyingine kesi ni barred by law.
Hanyongwi.Yana mwisho.Hata wakimnyonga Sote tutakufa. Hukuna atakayebaki milele
Huwezi kuchochea Umma, that's is practically impossibleKweli kabisa wanaweza kuja na hilo wazi. Ila Sheria inataka kumshtaki mtu kama ilivyoandikwa sio kama mtu anavyotaka. Sheria inasema kikundi cha watu au mtu binafsi. Ilikuwa lazima kosa au charge ionishe hivyo.
Tunasubiri submission ya Upande mwingine, Ila neno Umma ...maana yake ni Kila mtu katika eneo ..Sasa unaweza kuchochea Kila mtu ? Je Kila mtu alisikiliza hotuba hiyo kwa nchi nzima ?Tujipe muda kidogo tusublie submission ya upande wa mashitaka nayo kwa sababu hayo ni maelezo ya Lissu kulingana na alivyo itafsiri sheria.Je ukiambiwa kile kikundi cha watu waliokua wamehudhuria kwenye ule mkutano wa hadhara pale mbinga ndo umma,au huko kote ambako utetezi ulipita kufafanua kauli mbiu yao ya no reforms,no election ndo vikundi vyenyewe vya watu?. Kubwa zaidi ni 29 october ndo itatia uzito.
Aliyeuwa watanzania 518 amepata hukumu gani Hadi huyo atakayemhukumu MTU mmoja apate hukumu kubwa?Majaji kwenye kesi hii watapata hukumu kubwa Sana Kwa watanzania endapo watakubali kuingia mkenge kwenye hukumu mbovu