Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Namba 6 ndiyo itatawala maamuzi yote, nipo hapa
Kweli kabisa wanaweza kuja na hilo wazi. Ila Sheria inataka kumshtaki mtu kama ilivyoandikwa sio kama mtu anavyotaka. Sheria inasema kikundi cha watu au mtu binafsi. Ilikuwa lazima kosa au charge ionishe hivyo.Tanzania kila kitu kinawezekana watasema vikundi vidogo vidogoo vikiwa viiingiiii vinakuwa umma. 😄😄😄
Kweli kabisa mkuu. Hawa majaji wanatumika tu.Mkuu wanaotumika kwenye huo upuuzi wa maagizo toka juu ni hawa majaji. Ni sawa na yule jaji aliyemtangaza Samia kwa kura 31m za uongo. Sio kwamba hao majaji wanapenda, lakini wanafanyaje. Wanajua wakigoma kufuata maelekezo watatekwa, ama kuhujumiwa mafao yao, ama kwenye tume za michongo baada ya kustaafu. Hapo walipo wako kwenye wakati mgumu sana, wasimamie sheria/haki ama maagizo toka juu.
Yani hawana pa kutokea. Wamesema alitishia serikali lakini mahakama ikazuia Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu (wa wakati huo) kuja mahakamani kueleza namna walivyotishwa.Lisu amewaweka kwenye tight angle, na akisema alichochea umma, umma ndio huo uliofanya rais akashinda kwa 97% so which is which?
Ukikimbia nshale, ukisimama nshale.
Kwa kweli.Mkuu wanaotumika kwenye huo upuuzi wa maagizo toka juu ni hawa majaji. Ni sawa na yule jaji aliyemtangaza Samia kwa kura 31m za uongo. Sio kwamba hao majaji wanapenda, lakini wanafanyaje. Wanajua wakigoma kufuata maelekezo watatekwa, ama kuhujumiwa mafao yao, ama kwenye tume za michongo baada ya kustaafu. Hapo walipo wako kwenye wakati mgumu sana, wasimamie sheria/haki ama maagizo toka juu.
Uko sahihi mkuu uzima kwanza mengine baadaye.Hawana la kufanya, watafanya kwa mujibu wa maagizo ili wabaki hai. Kwani hawajui bastola toy?
HakikaAyo ndo madhara ya badala ya kutumikia nchi unatumikia chama au kiongozi.
Watu mna mambo.Lisu amewaweka kwenye tight angle, na akisema alichochea umma, umma ndio huo uliofanya rais akashinda kwa 97% so which is which?
Ukikimbia nshale, ukisimama nshale.
kauli moja ya kibabe sana na ki fedhuli'Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi wala kuaminika kwake' Jaji Ndunguru
Ikumbukwe kuna mashahidi walitoa ushahidi kwamba baada ya kusikiliza hotuba ile "WALIHAMASIKA".Kweli kabisa wanaweza kuja na hilo wazi. Ila Sheria inataka kumshtaki mtu kama ilivyoandikwa sio kama mtu anavyotaka. Sheria inasema kikundi cha watu au mtu binafsi. Ilikuwa lazima kosa au charge ionishe hivyo.