Kesi ya Kisiasa hii.Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema.
Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo.
Politically motivated case, wasivyo na haya watasema Umma ni pamoja na kundi fulani au mtu fulani!Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema.
Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo.
'Mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi wala kuaminika kwake' Jaji NdunguruNimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema.
Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo.
Sio kila kitu cha kumuachia mungu mambo mengine binadamu inabidi tuyamalize wenyewe.Mungu yupo na atatenda kwa wakati wake
Tanzania kila kitu kinawezekana watasema vikundi vidogo vidogoo vikiwa viiingiiii vinakuwa umma. 😄😄😄Politically motivated case, wasivyo na haya watasema Umma ni pamoja na kundi fulani au mtu fulani!
Mkuu wanaotumika kwenye huo upuuzi wa maagizo toka juu ni hawa majaji. Ni sawa na yule jaji aliyemtangaza Samia kwa kura 31m za uongo. Sio kwamba hao majaji wanapenda, lakini wanafanyaje. Wanajua wakigoma kufuata maelekezo watatekwa, ama kuhujumiwa mafao yao, ama kwenye tume za michongo baada ya kustaafu. Hapo walipo wako kwenye wakati mgumu sana, wasimamie sheria/haki ama maagizo toka juu.Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni ya Adhabu kifungu/ Sec.39(2)(b) yenyewe inatambua uchochezi kwa mtu binafsi au kikundi cha watu.
Ina maana Jamhuri inadai Lissu alichochea umma wote wa Tanzania ili kuitisha serikali. Sasa swali langu inakuwaje mahakama ikadai Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?. Kwa maana nyingine Lissu hakuchochea mtu au kikundi cha watu kama inavyosema.
Jamhuri imemshtaki Lissu kwa kosa lisilokuwepo.
Mahakama zetu sio huru kabisa. Wameshindwa hata kutoa ruhusa Jamhuri wafanye marekebishoKesi ya kisiasa
Chuki
Hasara
Uonevu
Husuda
Misuse of power
Wajinga wachache waliopewa madaraka
Mahakama zinafuata Serikali inasema nini
Ingekua kesi km hizi majaji wanachukua rushwa ingekua ishaisha ila kwa sababu Serikali na wenye maamuzi huwamua uendeshaji wa kesi hizi za kisiasa basi tusubiri na kuona
Hawana la kufanya, watafanya kwa mujibu wa maagizo ili wabaki hai. Kwani hawajui bastola toy?Majaji kwenye kesi hii watapata hukumu kubwa Sana Kwa watanzania endapo watakubali kuingia mkenge kwenye hukumu mbovu
Hata walisema Umma ni pamoja na kundi la watu, Sheria inataka ueleze kosa kama lilivyoainishwa kwenye kanuni ya Adhabu au Sheria husika.Politically motivated case, wasivyo na haya watasema Umma ni pamoja na kundi fulani au mtu fulani!