Bismillahir Rahmaanir Rahiim ndio nini??
Hii habari umewaletea waarabu au watanzania tuñaoongea kiswahili.
Heri ungetumia maneno ambayo kila moja anayajua
Yale maelekezo kutoka juu sasa hayapo yalioondoka pamoja naye.
J4 tutegemee wataachiwa huru.
Mungu mkubwa!
Magu or Shein
Aliyekuwa mkuu wa nchi, akatoa maelekezo na kuridhia kuwasweka mahabusu bado yupo!
Mimi nimegoogle nikapata hizo habari, ukisema ukristo una wafuasi wengi kuliko budha unatoa wapi. Mi ningekuwa nina utaalam wa kukuwekea hizo takwimu kutoka google ningekuwekea.SI KWELI UKRISTO NDIO YENYE WAUMINI WENGI ikifuatiwa na uislam
Update you’re chrome hizo takwimu zako fakeMimi nimegoogle nikapata hizo habari, ukisema ukristo una wafuasi wengi kuliko budha unatoa wapi. Mi ningekuwa nina utaalam wa kukuwekea hizo takwimu kutoka google ningekuwekea.
Kwa idadi na wingi wa Wachina, lugha ya Kichina ndio inaongoza kwa kuongewa na watu wengi duniani, vipi ukatae Ubudha ambao ndio sehemu kubwa ya dini ya Wachina!?Update you’re chrome hizo takwimu zako fake
Inchi za wenzetu ipo hivo cjui huku bongoWakikutwa hawana hatia watalipwa fidia ya kupotezewa muda kwa miaka waliyokaa ndani?
Bongo Nyoso.Inchi za wenzetu ipo hivo cjui huku bongo
Ulitakiwa na maneno ya kiswahili uyageuze toka kulia kwenda kushotoبسم الله الرحمن الرحيم ikiwa kwa lugha ya Kiswahili imekushtua hii sasa itakumaliza
Yaani wakileta tena ugaidi watakomaNadhani hao mashehe wa uamsho wamejifunza mengi kwa kukaa rumande hata wakiachiwa huru leo hatutasikia tena watu wakipigwa risasi na kuuawa ovyo ovyo kama wakati ule walipoanzisha uamsho wao
Hii amewaandikia Waislam wenzie tu, kwani huwajui hawa?Bismillahir Rahmaanir Rahiim ndio nini??
Hii habari umewaletea waarabu au watanzania tuñaoongea kiswahili.
Heri ungetumia maneno ambayo kila moja anayajua
Sasa kama hayamuhusu si mngeandikiana huko misikitini?Kama huyajui ujue hayakuhusu
Acha Roho mbaya ya kigaidi weyee, wewe ndio unayetoa amri ya mtu kufa? Wewe hutakufa?Kufa
Watakupinga kwakuwa hao ni Waislam wenzaoKikwete na Shein (2013)
Serikali iwe makini sana na Hawa Masheikh.Kesi na kushikiliwa kws masheikh wa uamsho kunafikirisha sana (iwe Wana hatia au hawana). Iweje baada ya hao masheikh kukamatwa na kuhamishiwa Bara, Zanzibar kumekuwa shwari, yale mashambulio ya tindikali na risasi kwa wageni yamekoma kabisa.
Vv
Hujui Unafiki wao? Hapo amefunga siku nzima [emoji16]Mwezi wa Toba huu unashindwa kujizuia kutoa matusi Shekh?
Kama Babu Seya alitoka iweje wao?Cha ajabu wanata kimlaumu hayati JPM, kipindi hicho waziri tu
Wale wanaoleta Kiingereza chao je, JF wote wanazungumza Kiingereza?Bismillahir Rahmaanir Rahiim ndio nini??
Hii habari umewaletea waarabu au watanzania tuñaoongea kiswahili.
Heri ungetumia maneno ambayo kila moja anayajua