We kweli umewafuatilia vyema uamsho, mimi ni mznz na kipindi cha harakati za uamsho nilikuwepo zenji kdg nikaenda zangu chuo bara, niliporudi kutoka chuo nikakuta harakati zimepamba moto na posters za Zanzibar yenye Mamlaka kamili zikiwa zimeenea kila kona...nikasema ohoo tunakoelekea moja wapo litatokea ama muungano kuvunjika au masheikh yatawakuta yaliyomkuta hayati Aboud Jumbe Mwinyi, Rais mstaafu wa Zanzibar alipojaribu kuuchokonoa Muungano.Mnazunguka zunguka tu.
Masheikh wa UAMSHO wako ndani sababu ya MUUNGANO!
WALIUGUSA VIBAYA MUUNGANO!
Fuatilia video zao utaelewa.
Walikuwa wanawaamsha Wazanzibar kuachana na SIASA za u-CCM na u-CUF ambazo zilikuwa zinawagawa na kwamba adui wa kweli wa Taifa lao ni MUUNGANO!
Na Wazanzibari kwa wingi wao walianza kuwaelewa.
Yaani wasingewekwa ndani; pengine hivi tunavyoongea huu MUUNGANO, hata Kama ungekuwepo, usingekuwa hivi ulivyo!
Dini ilitumika Kama kiungo tu kwavile majority ya Wazenji ni Muslims. Ukiwakusanya Kama waislam inakuwa rahisi kuzungumza 'lugha' moja!
Kumwagia tindikali watalii ni economic sabotage, kama ikidhibitika pasi na shaka walifanya hivyo, wataozea jela
Watanzania ni watu wa mikumbo sana unaweza ukamjua mtu A ni mwizi wa miaka mingi ila huna ushahidi kumkamata mtu na ushahidi wa ugaidi sio rahisi mpaka leo hii MAREKANI hawana ushahidi kama Osama alihusika moja kwa moja Sept 11 Ndio mana hawakumbeba kumpeleka mahakamani ... ngoja yaanze tena ndio mtakumbuka nini kiliwaweka ndani
Kwa ili mnamuonea mwenda zake, hao wamekamatwa wakati wa Jk..Yale maelekezo kutoka juu sasa hayapo yalioondoka pamoja naye.
J4 tutegemee wataachiwa huru.
Mungu mkubwa!
Siwezi kuamini unachokisema.Hawana ushahidi wa Osama kwa kua alikua ni planner lakini wafanyaji wa matukio waliwakamata na kuwajuwa, Sasa hizi kesi tunazoambiwa zimefanywa na uamsho mbona hakuna wafanyaji matukio waliokamatwa? Eti makanisa yaliochomwa yote hakuna hata mchomaji mmoja aliekamatwa? watiaji Tindi kali wote hakuna hata mmoja aliekamatwa?
Mkuu Yale matukio yalifanywa na TISS ili kujitengenezea mazingira ya kuwakamata hawa mashehe, mana jamaa walikua ni pain in the Ass kwa CCM.
Kwa ili mnamuonea mwenda zake, hao wamekamatwa wakati wa Jk..
Kama hakuna ushahidi basi waachiweMbona mpaka leo Jamhuri imeshindwa kutoa ushahidi wa hivyo vitendo?
Acha chuki za kidini, Magu anaingiaje hapo? Lengo umkwepe Shein na kikwete waislam waliowaweka hao mashehe korokoroni.Magu or Shein
Yule aliyempiga risasi padre na baadaye kukamatwa nadhani baada ya kuminywa ndiye aliyataja 'cindykate' nzima.
Huko Zanzibar ufanywe ugaidi Kwa maslahi ya Nani?.
Kwan Somalia , Syria na Afhghanstan kote huko ugaidi unafanywa kwa faida y nan?
Afu kinano cha hawa jamaa kimetoa somo kubwa sana kwa wananchi wengine walio salia zanzibar kuwa ujinga ule haitakiwi kabisaSiwezi kuamini unachokisema.
Ingawa matukio yamekuwa ni ya siku nyingi lakini kumbu kumbu bado tunazo.
Yule aliyempiga risasi padre na baadaye kukamatwa nadhani baada ya kuminywa ndiye aliyataja 'cindykate' nzima.
Hizo chuki za kidini zilionekana wazi Zanzibar enzi hizo na tangia wakamatwe pakawa shwari mpaka leo.
Haki inayosemwa wamenyimwa ni ya kutokufikishwa mahakamani kwa muda unaotakiwa na kuhukumiwa kisheria na siyo kwamba wote hao wanaotuhumiwa hawajatenda moja kwa moja waliyoshitakiwa nayo na wanapakaziwa.
Uhuru kutoka kwa Nan?kudai Zanzibar HURU NI ugaidi?
Uhuru kutoka kwa Nan?
Kwa watanganyika
Naomba unitajie hiyo Tanganyika iko wapi hapa duniani na inatumia bendera ipi kiuwakilishi halali kimataifa kwa mwaka huu 2021Kwa watanganyika
Naomba unitajie hiyo Tanganyika iko wapi hapa duniani na inatumia bendera ipi kiuwakilishi halali kimataifa kwa mwaka huu 2021
Labda ungeniuliza nchi ya zanzibarrrrrrr IPO wapi.