Mahakama Kuu yafuta mashtaka 14 kati ya 25 ya Masheikh wa Uamusho

Unamng'ang'ania MTU vipii?.
yaani umuweke Tu mahabusu?.
Si Bora angewafunga kifungo cha maisha tujue moja au wangewanyonga.
ILA SIO MAHABUSU MIAKA YOTE HYO
Gaidi ni ngumu kumtia hatiani Guantanamo bay hakuna aliyehukumiwa hata mmoja
 
Unamng'ang'ania MTU vipii?.
yaani umuweke Tu mahabusu?.
Si Bora angewafunga kifungo cha maisha tujue moja au wangewanyonga.
ILA SIO MAHABUSU MIAKA YOTE HYO
Gaidi ni ngumu kumtia hatiani Guantanamo bay hakuna aliyehukumiwa hata mmoja
Vipo vingi ninavyovijua kama ambavyo unavyo vingi unavyovijua, hakuna haja ya mihemko, kama swali langu ni gumu achana nalo.
sawa
 
SI KWELI UKRISTO NDIO YENYE WAUMINI WENGI ikifuatiwa na uislam
 
sasa umemjua vipi kama NI GAIDI?
Kenya 🇰🇪 kuna wale magaidi waliofanya tukio Garisa waliokamatwa baadae wote walikua chuoni na hakuna aliyekua na silaha gwaride la utambuzi kuna ambao hawakutambuliwa shida ni kwamba wamekutwa chuoni ( ukijumlisha yule mbereselo) bila ID je wangapi wanaingia vyuoni bila ID kutembea au kutembelea rafiki wakiangaliwa background zao zinaonyesha shaka ( yule mtz alitoroka shule kwa sababu ya misimamo) basi kuna aliyeachiwa baada ya mahakama kukuta hakuna ushahidi manyamela yakamteka tena wakampoteza... hivyo ndio inavyokua
Unaweza mumjue mwizi mtaani bila ya kua na ushahidi ... unaweza umjue malaya bila ya kumuona au kulala nae ...hiyo ndio intelligensia jamaa hawa walianza kueneza ugaidi Zanzibar watalii walianza kumwagiwa tindikali ... kanisa likachomwa ... padri akachapwa risasi ... mahakamani ni jinsi unavyoweza kujitetea kuna wanaofungwa kwa hatia na wasio na hatia hivyohivyo kuna wanaoachiwa wakiwa na hatia
 
Labda haujui hyo kesi ya masheikh wa uamsho ilianza vipi au chanzo chake.
HAO sio magaidi.bali walikuwa wanataka Zanzibar ijitenge na iwe nchi HURU.
hawajawahi kufanya matukio yoyote ya kigaidi huko Zanzibar.
Hyo kesi wamepewa tu sababu ya kudai Zanzibar HURU.
 
Wewe ndio hujui Zanzibar huru nyuma ya pazia ilikua inashinikiza vipi matakwa yake au unafikiri kutaka nchi yako iwe huru ni kazi ya BISCUIT 🍪 NA soda 🥤
 
Kwa hyo hiyo Dhana kuwa UAMSHO NI MAGAIDI WAMETENGENEZEWA.
 
Logically hakuna mtu anaeitwa gaidi hata magaidi ukiwauliza watasema wapinzani wao ndio magaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…