Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Tetea nyumbani kwa Bi maza brothee teteaa.
Ila ndoa zao hazidumu yani zina maisha mafupi kinyaksi.
Mnazingua sana wamachame wapo poa sana ,mnaogopa kuchangamshwa mzisake pesa kwa spidi 😁😁😁
 
Kupiga mswaki ni aina ya msamiati sanifu unaotumika na umekidhi.
 
Msichoelewa wachaga wengi wa Machame ni waislamu,so inawezekana hata huyu marehemu alikua mchaga wa Machame
Hapa umetupiga kamba.
WAMACHAME WENGI SIO WAISLAM.
Angalau ungeniambia WAMARANGU hapo nakubali idadi ya uislam kubwa kidogo.
We sheria za uislam zilivyo ngum kumeza mmachame mtu wa mmaa moja moto mma moja baridi ataweza wapi!?
 
Ni wazuri na wanajambia mbali ila daah πŸ™πŸ™πŸ™
Hiyo kujambia mbali ni urongo 😜😜😜 ila hawana shida na wanahamasisha bongo isilale, kusaka pesa.
 
Wanawake wa kichaga katika ubora wao.
hivi kuna mtu hakukatazwa kwao kua asilete binti wa kichaga kama mchumba nyumbani kwao ?
Mie wa kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚
Nilipofikiria kuoa walikua wananisisitiza asije mchaga si unaona kilichomkuta ankal wako wamem forward akhera!?πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi bro nikiskia dem mchaga genye zote kwishnei nikaoa Mburu bhanaa.
 
Mbona hujasema vizuri mwenye pesa zake aliye oa mchagga na familiya aliyotoka pamoja na yeye wakabaki salama πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…