Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Tetea nyumbani kwa Bi maza brothee teteaa.
Ila ndoa zao hazidumu yani zina maisha mafupi kinyaksi.
Mnazingua sana wamachame wapo poa sana ,mnaogopa kuchangamshwa mzisake pesa kwa spidi 😁😁😁
 
Baki kwenye kupiga mswaki kwanza usikimbilie kote huko. Usikute unamtuma mdogo wako akakununulie dawa ya mswaki na sio dawa ya meno. Au unamtuma akakununulie vitafunio na sio vitafunwa.
Nenda popote pale kiswahili sanifu sio kupiga mswaki ni kusafisha kinywa na sio kusafisha meno, ukitumia mswaki.
Kupiga mswaki ni aina ya msamiati sanifu unaotumika na umekidhi.
 
Msichoelewa wachaga wengi wa Machame ni waislamu,so inawezekana hata huyu marehemu alikua mchaga wa Machame
Hapa umetupiga kamba.
WAMACHAME WENGI SIO WAISLAM.
Angalau ungeniambia WAMARANGU hapo nakubali idadi ya uislam kubwa kidogo.
We sheria za uislam zilivyo ngum kumeza mmachame mtu wa mmaa moja moto mma moja baridi ataweza wapi!?
 
Wanawake wa kichaga katika ubora wao.
hivi kuna mtu hakukatazwa kwao kua asilete binti wa kichaga kama mchumba nyumbani kwao ?
Mie wa kwanza😂😂
Nilipofikiria kuoa walikua wananisisitiza asije mchaga si unaona kilichomkuta ankal wako wamem forward akhera!?😂😂
Basi bro nikiskia dem mchaga genye zote kwishnei nikaoa Mburu bhanaa.
 
Ndio u smart wa wanawake wa huko Mana.
Na wanaume wajanja lazima waoe huko na inabidi wawe na Mali,wasomi, kiongozi na mjanja mjini.ukiwa mchunga ng'ombe huoi huko. Sharti Mali zako zinufaishe huko kwao na mwanamke. Na ndugu zake lazima hata wasomee kwako na wakulie kwako Kama Kuna madogo uwape mitaji Ila Sasa ndugu zako waishi kwako utaviona vitimbwi vyake.

Wengine wamefyeka msitu,wakang'oa visiki,wakapasua mawe,wakalima,wakapalilia,wakamwagilia Leo hii umepata Mali,pesa,cheo,elimu na maisha mazuri wengine wanavuna na kula tu. Walioteseka wakija wanaonekana Kama wachawi na wanafanyiwa vitimbwi hata hawakai mwezi ukaisha Ila was kwao wanaishi mpaka wanazeekea hapo, Wanao na kuolewa kwako,wanaanza na kumalizia shule kwako.

Hii transaction aka trading haijakaa sawa kabisa.
Yaani mwanamke na kwao wanakufaidi huku wewe ukifaidi kut00mba ambako nayeye anasikia pia utamu. Wanaume zindukeni wanawake wanatumia mahusiano kujinufaisha kwao,yeye huku kwenu pakizorota.

Nani akaoa huko anaishi na ndugu zake kwa amani nyoosha mkono ama unamsaidia mama yako bila vijimaneno.we need a large number of sample space so that we've exact mean approaching population mean.
Mbona hujasema vizuri mwenye pesa zake aliye oa mchagga na familiya aliyotoka pamoja na yeye wakabaki salama 😅😅😅
 
Back
Top Bottom