We wa wapi dadaa?Hapana Bwana mimi shoga zangu wa ukanda huo yani hata lugha wanazokua wanaongea hutamani kuwa na mkwe wala wifi kutoka huko🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We wa wapi dadaa?Hapana Bwana mimi shoga zangu wa ukanda huo yani hata lugha wanazokua wanaongea hutamani kuwa na mkwe wala wifi kutoka huko🤣🤣🤣
Tetea nyumbani kwa Bi maza brothee teteaa.Mnasema tu ila wadada wengi wakichaga rate yao ya kuolewa tena kwa ndoa na tarumbeta 🎺 ipo juu kuliko unavyofikiri .
Aliyemwuua Aneth msuya kaachiwaNaikumbuka hii habari ilitikisa sana
Mnazingua sana wamachame wapo poa sana ,mnaogopa kuchangamshwa mzisake pesa kwa spidi 😁😁😁Tetea nyumbani kwa Bi maza brothee teteaa.
Ila ndoa zao hazidumu yani zina maisha mafupi kinyaksi.
Mama yangu pia ni mmachame na ni mama bora, mpole na mchamungu kuwahi kutokeaSio kwel , wamachame wala hawana shida hizo tabia za mtu binafsi tu.
Kupiga mswaki ni aina ya msamiati sanifu unaotumika na umekidhi.Baki kwenye kupiga mswaki kwanza usikimbilie kote huko. Usikute unamtuma mdogo wako akakununulie dawa ya mswaki na sio dawa ya meno. Au unamtuma akakununulie vitafunio na sio vitafunwa.
Nenda popote pale kiswahili sanifu sio kupiga mswaki ni kusafisha kinywa na sio kusafisha meno, ukitumia mswaki.
Wanazingua hawa , wanaogopa wamachame kwa sababu hawapendi mtu mvivu .Mama yangu pia ni mmachame na ni mama bora, mpole na mchamungu kuwahi kutokea
Ni wazuri na wanajambia mbali ila daah 🙏🙏🙏Mnazingua sana wamachame wapo poa sana ,mnaogopa kuchangamshwa mzisake pesa kwa spidi 😁😁😁
Wanawake wa kichaga katika ubora wao.Grace Mushi 🐼
Hapa umetupiga kamba.Msichoelewa wachaga wengi wa Machame ni waislamu,so inawezekana hata huyu marehemu alikua mchaga wa Machame
Hiyo kujambia mbali ni urongo 😜😜😜 ila hawana shida na wanahamasisha bongo isilale, kusaka pesa.Ni wazuri na wanajambia mbali ila daah 🙏🙏🙏
Mie wa kwanza😂😂Wanawake wa kichaga katika ubora wao.
hivi kuna mtu hakukatazwa kwao kua asilete binti wa kichaga kama mchumba nyumbani kwao ?
Aaaah mie nimeona bhanaa kama aunty yangu alikua ana kibeseni.Hiyo kujambia mbali ni urongo 😜😜😜 ila hawana shida na wanahamasisha bongo isilale, kusaka pesa.
Wapo moja moja sanaAaaah mie nimeona bhanaa kama aunty yangu alikua ana kibeseni.
HATA WAPIGA NYETO BRO??Hii iwe fundisho kwa wote wanaojichukulia sheria mkononi
😂😂 unasemaaaaa???We wa wapi dadaa?
Mbona hujasema vizuri mwenye pesa zake aliye oa mchagga na familiya aliyotoka pamoja na yeye wakabaki salama 😅😅😅Ndio u smart wa wanawake wa huko Mana.
Na wanaume wajanja lazima waoe huko na inabidi wawe na Mali,wasomi, kiongozi na mjanja mjini.ukiwa mchunga ng'ombe huoi huko. Sharti Mali zako zinufaishe huko kwao na mwanamke. Na ndugu zake lazima hata wasomee kwako na wakulie kwako Kama Kuna madogo uwape mitaji Ila Sasa ndugu zako waishi kwako utaviona vitimbwi vyake.
Wengine wamefyeka msitu,wakang'oa visiki,wakapasua mawe,wakalima,wakapalilia,wakamwagilia Leo hii umepata Mali,pesa,cheo,elimu na maisha mazuri wengine wanavuna na kula tu. Walioteseka wakija wanaonekana Kama wachawi na wanafanyiwa vitimbwi hata hawakai mwezi ukaisha Ila was kwao wanaishi mpaka wanazeekea hapo, Wanao na kuolewa kwako,wanaanza na kumalizia shule kwako.
Hii transaction aka trading haijakaa sawa kabisa.
Yaani mwanamke na kwao wanakufaidi huku wewe ukifaidi kut00mba ambako nayeye anasikia pia utamu. Wanaume zindukeni wanawake wanatumia mahusiano kujinufaisha kwao,yeye huku kwenu pakizorota.
Nani akaoa huko anaishi na ndugu zake kwa amani nyoosha mkono ama unamsaidia mama yako bila vijimaneno.we need a large number of sample space so that we've exact mean approaching population mean.
kwahiyo hanyongwi...?Kifungo cha Maisha, huyo rasmi anaenda kujenga na kuzaa huko huko mpaka apate msamaha wa rais
😂😂😂 bimaana nyumbani asilia wapi?😂😂 unasemaaaaa???