Yule jamaa hata aibu hakuona kusema hivyo.Nakumbuka Magu akiwa mgeni rasmi kwenye ile siku ya sheria duniani,alitamka na kuwaamuru majaji kuwa zipo hela nyingi mmezikalia mahakamani za mafisadi na wakwepa kodi amueni haraka hizo kesi ili hizo hela niwape ninyi majaji zisaidie kwenye budget yenu ya mahakama,sasa hapo unategemea nn/ Aisee Mungu fundi aliona tunakoelekea ni kubaya sana kama nchi,Mungu aliamua kula kichwa bila kumwaga damu duhhhh
Yule jamaa hata aibu hakuona kusema hivyo.
Frankly I prefer a one man show that leads to tangible results, rather than a community show that has many excuses and keeps building hopes only with no results at all.Wee acha tu mkuu / ilikuwa ni one man show,nchi nzima na kila sekta tulifyata mkia kwakweli
Namkumbuka Kangi Lugola alivyokuwa akimkatia Uno Magu hahhaahaahaha
I understand what you mean in this scenario but mind you that the guy was doing all these issues by violating human rights.We have both tangible and circumstantial evidenceFrankly I prefer a one man show that leads to tangible results, rather than a community show that has many excuses and keeps building hopes only with no results at all.
Probably you have a very elementary view of what the term "human rights' mean! Years back I posted the whole list of the 30 articles of UDHR here and nobody was able to show which human right was violated by the government. By the governemnt enforcing the law that makes you unhappy does not constitute to violation of your human rights!I understand what you mean in this scenario but mind you that the guy was doing all these issues by violating human rights.We have both tangible and circumstantial evidence
Jf kila kitu kipoHahahhahaaa nashukuru kwa kuja na ushahidi barikiwa sana wewe
Probably you have a very elemntary view of what the term "human rights' mean! Years back I posted the wole list of the 30 articles of UDHR here and nobody was able to show which human right was violated by the governement. By the governemnt enforcing the law that makes you unhappy does no constitute to violation of your human rights!
Jf kila kitu kipo
Utaratibu wa sheria ni kuwa kuna mtuhumiwa, mlalamikaji, na hakimu; ndivyo sheria inavyofanya kazi. Ukituhumiwa kwa kosa, hata kama ushahidi ni kidogo sana huwezi kulalamika kuwa umekoseshwa haki zako za binadamu, utakuwa ni mtuhumiwa tu, na sheria itachukua mkondo wake; ni hakimu tu atakayeamua kama una hatia au la. Kwa hiyo ukituhumiwa, halafu mahakama ikasema kuwa ushahidi uliopo hatutoshi, basi haina maana kuwa serikali ilikuonea, ndivyo utaratibu ulivyo. Makosa ni pale tu serikali itajichukulia maamuzi bila kuyapitisha mahakamani. Hakuna aliyewahi kuonyesha hapa kuwa kuna mtuhumiwa alihukumiwa na serikali bila mahakama. Wengie wanatoa hisia tu kuwa mahakama zililazimishwa bila kutoa ushahidi wowote.kabisa /yupo mdau humu ndani naona kaamua kupeleka akili likizo yaan ni full kumtetea jiwe huku akijificha kwenye lugha ya Malkia
Hao wachumia tumbo sihangaiki nao , wako kimkakatikabisa /yupo mdau humu ndani naona kaamua kupeleka akili likizo yaan ni full kumtetea jiwe huku akijificha kwenye lugha ya Malkia
Hili la Ded kusimamia uchaguzi badala ya nec staffs liliasisiwa na Mkapa .Sasa hivi Mihimili mingine imeanza kujiinua tena kutokea mavumbini. Ni muda sahihi sasa kurudi Mahakamani kufungua shauri la kupinga Halmashauri chini ya uongozi wa DEDs kusimamia chaguzi zote
Sisi Nchi tajiri sana hatushindwi kuweka key staff wa NEC Nchi nzima.
Km ingekua ni mpira wa miguu tungesema corona ilikua man of the matchCorona imeturejeshea Uhuru ulioporwa na dikteta mwenda zake. Mungu hutumia njia yeyote kuwaokoa watu wake pindi vilio vya watu vinapo mfikia.
Kwa hiyo hatuhitaji katiba mpya? Watu na makalio yenu bana!iyo katiba itakusaidia nini kwa sasa
nchi inahitaji mambo mengi zaidi ya katiba mpya
Mdogo mdogo.....Kuna wakati huwa natafakari, sipati jibu kuhusu marehemu. Najiuliza:
1) Alikuwa ni mtu ambaye kwa asili yake alikuwa ni mtu tu wa roho mbaya?
2) Alikuwa ni mtu wa kawaida lakini baadaye shetani akaingia ndani yake, na hivyo alikuwa ni shetani katika umbile la mwanadamu?
3) Au alikuwa ni mtu wa kawaida, lakini alikuwa na tatizo la afya ya akili kiasi cha muda mwingine kuwa wa kawaida, na muda mwingine akili kukengeuka?
Maana kuna uovu mwingine aliowafanyia watu, unazidi hata ule wa watu katili.
Kwa kweli marehemu alikuwa katili na roho ya ajabu:
Kufilisi watu
Kuteka watu
Kuua watu
Kubambikia watu kesi
Kupora pesa za watu
Yaani alitaka usipomwabudu, basi ukose na fursa nyingine zote za maisha ya hapa Duniani.
Nikweli but Mimi ningelikua raisi hao majaji wa marehemu ningaliwaondosha hivo hivo kwani mzizi wa muhimili wa raisi umekwenda mbali kukiko mihimili mengine. "Magufuli's voice" Hapo ndo tungeelewana.Huwez kumaondoa Jaji Mkuu Kama unamwondoa DC
Huyu jamaa alisahau ka riziki mafungu 7. Aliwaza riziki inatoka kwakwe tu.Alimfukuzaga kazi welle malecela akajua kammaliza, kusikia kachaguliwa UN alikasirika sana, aliamin yeye ndo mgawa rizki