Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Billion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.
Nasikia gwajifix kamuhakikishia musiba, kua iwe iwavyo sipomsa atafufukaaa
 
Napendekeza wanaharakati huru waweke namba ya kumchangia 7.5B mwanaharakati huru mwenzao.
 
Bashite msaidie , Musiba alikua rafiki yako
 
Wanasheria niliwahi kuwasikia wakisema jurisdiction inapatikana kwa kuangalia kosa limefanyikia wapi, haiangalii mkosa ni raia wa wapi. Kama ndio hivyo kweli tuangalie cenario ilikuwa vipi.
 
Wanasheria niliwahi kuwasikia wakisema jurisdiction inapatikana kwa kuangalia kosa limefanyikia wapi, haiangalii mkosa ni raia wa wapi. Kama ndio hivyo kweli tuangalie cenario ilikuwa vipi.
 
Maandiko matakatifu yanasema "amelaaniwa yeyote amtegemeaye mwanadamu"
 
Musiba amlipe tuu
Kwani si kidogokidogo hadi deni liishe😎😎
Maana Hata wakiuza mali zake hana hiyo pesa
Kama hana kitu akimuamulia ili kumkomesha anaweza akamtia adabu kwa kumuweka jela kwa gharama zake!!!hata mwaka mmoja tu, ajifunze.
 
Msiba bora ungelikuwa chawa wa messi hii ishu yako wala isingekuwangisha kichwa angelikuachia tu ka mshahara kake ka mwezi 8.1 bil. na unge keep change.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…