Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Akishindwa kulipa itakuwaje?

Au itamfanya awe house boy wako miaka yake yote ya uhai??
 
Kwani Musiba Ni raia wa Nchi ya Zanzibar? Ninachojua ukitaka ku practice uwakili Zanzibar lazima usajiliwe upya kwao

Hiyo kesi wakaisajili mahakama ya kimataifa kunenforce sababu Zanzibar Ni nchi kamili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.

Musiba si raia wa Nchi ya Zanzibar na Hana mpango wa kuomba uraia Zanzibar
 
Hiyo hukumu hopeless
Imeamriwa na mahakamu kuu ya Nchi huru ya Zanzibar

Kwa mujibu wa katiba yao Zanzibar Ni nchi kamili

Hiyo kesi walitakiwa Wapeleke mahakama ya kimataifa sababu wao Ni nchi kamili na Musiba sio raia wao na kosa hakulifanya akiwa Zanzibar sababu sio raia na hana mpango wa kuomba uraia Wala kwenda Zanzibar iwe kuoa mtoto au mjukuu wa karume au kutalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…