Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Tatizo hiyo pesa kubwa mno kuliko uhalisia, huyo Fatma mwenyewe anajua Musiba hana hiyo pesa.

Kwa nini wasiweke kiwango chenye uhalisia, hata milioni 10 ingetosha kumpa jamaa wenge.
Atafilisiwa Mali zake na Deni litabaki.


Full stop.
 
Musiba alishasema kwamba mahakama za Zanzibar hazitambui - kwani yeye ni wa bara, kama wana uwezo waje wamkamate.
 
Nyie mawakili wa Cyprian Musiba, ndiyo utetezi wenu huu kwa mteja wenu...?

Kama ndiyo mko hivi, kumbe ndiyo maana mmeshindwa kesi huko mahakamani...!
 
Fatma ana akili na hmjamuelewa. Angeweza kuifungulia hii kesi bara akammaua kuchokoza mambi ya muungano.

Subirini muone kitakachotokea.

 
Tatizo hiyo pesa kubwa mno kuliko uhalisia, huyo Fatma mwenyewe anajua Musiba hana hiyo pesa.

Kwa nini wasiweke kiwango chenye uhalisia, hata milioni 10 ingetosha kumpa jamaa wenge.
wacha ahangaike kwanza na mahakama, huyu jamaa alitamba sana enzi zake- wengine waliamua kumwacha tu, yaani kuwaita wazee wastaafu tena wa Urais kwamba ni wachumia tumbo... kweli huyu jamaa aisee.
 
Leo hii ndio anaiamini hiyo mahakama kwa kuwa Musiba ameamuriwa amlipe? mahakama ya zanzibar lolo.
 
Huyo Misiba angekuwa mpinzani hiyo hukumu ingekuwa na maana, na kesi iwe imefanyikia huku Bara. Hakuna mwanaccm anatii amri ya mahakama, hasa mwenye haki anapokuwa mkosoaji wa serikali.
 
Hongera Shangazi, ndio uzuri wa Utawala unaofuata Sheria.

Tusuburi na Mwenyekiti wetu nae akitoka alifungulie kesi ya madai Jeshi la Polisi.
 

YEHODAYA au musiba akubali kumlipa fatma elfu50 au laki1 kila mwezi, ili amalizane na huo usumbufu wanmahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…