Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi

13 Jun2023

Delivery of Judgements on 13th June 2023 : including the Case Application 011 / 2020 - Bob Chacha Wangwe and Legal and Human Rights Centre vs United Republic of Tanzania

The African Court on Human and Peoples' Rights (the Court) is a continental court established by African countries to ensure protection of human and peoples' rights in Africa. It complements and reinforces the functions of the African Commission on Human and Peoples' Right

Source : African Court
 
Yule mwehu alilaaniwa duniani na mbinguni.
 
Utekelezaji ndiyo shida
 
Safi sana,huu upuuzi umetuharibia utawala Bora katika nchi hii
 
MAHAKAMA YA AFRIKA BAADA YA KUTOA HUKUMU HII YA KIHISTORIA, YATOA MAAGIZO HAYA YATEKELEZE HARAKA INAVYOWEZEKANA :

Serikali yapewa agizo na Mahakama ya Afrika kuitundika hukumu hii ya kihistoria katika tovuti, mitandao, ofisi za umma za sheria kote Tanzania ili raia waisome hukumu hii

Kuwa serikali ianzishe mchakato wa kubadilisha sheria kupitia muswada bungeni ili sheria zake ziendena na hukumu hii iliyotolewa, protokali na chapter za Afrika

Kuwa serikali iwe inatoa mrejesho / feedback kuhusu hatua inazochukua ili kukazia hukumu hii sheria mpya iliyoelekezwa katika kutoa mazingira huru ya Tume ya Uchaguzi na mawakala wa uchaguzi...
Source : African Court Cases | Details of a case

011 / 2020 - Bob Chacha Wangwe and Legal and Human Rights Centre vs United Republic of Tanzania​

 
Serikali yapewa agizo na Mahakama ya Afrika kuitundika hukumu hii ya kihistoria katika tovuti, mitandao, ofisi za umma za sheria kote Tanzania ili raia waisome hukumu hii

the Court deemed it proper to make an order suo motu for publication of this Judgment.

The Court, therefore, ordered the Respondent State to publish this Judgment within a period of three (3) months from the date of notification, on the
websites of the Judiciary and the Ministry for Constitutional and Legal Affairs, and to ensure that the text of the Judgment remains accessible for at least one (1) year after the date of
publication.

On implementation of decisions, the Court reiterated that this is required as a matter of judicial
practice. The Court, therefore, ordered the Respondent State to submit to it within twelve (12)
months from the date of notification of this Judgment, a report on the status of implementation
of the decision set forth herein and thereafter, every six (6) months until the Court considered
that there has been full implementation thereof.
 
Toka Maktaba

Ma- DED 74 Wametoka CCM na ni makada wa chama kongwe dola, hivyo mahakama kuu ya Tanzania yameridhika kuwa utaratibu huu ni batili kifungu 7(1) na 7(3) vifutwe ...

2019 13 May

Serikali kukata rufaa hukumu ya kesi ya Chacha Wangwe

Mwanasheria mkuu wa serikali Dkt. Adelardus Kilangi amesema kuwa serikali imekatia rufaa hukumu iliyotolewa wiki kadha na mahakama kuu ya Tanzania, kutoka kwenye kesi iliyofunguliwa na Bob Chacha Wangwe akipinga vifungu kadhaa vya sheria ya uchaguzi...

..................................................................

More Info :
Msemaji Mkuu wa serikali 13 May 2019


Baada ya Uamuzi huo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, imeanza taratibu za Kisheria za kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufani Tanzania ili sehemu ya uamuzi huo upitiwe upya


10 May 2019

HUKUMU : WAKURUGENZI MARUFUKU KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU, SHERIA YABATILISHWA


Mahakama Kuu ya Tanzania imebatilisha sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi Mkuu.Uamuzi huo umetolewa na Jaji Atuganile Ngwala kwenye kesi ya msingi namba 6 ya mwaka 2018 iliyofunguliwa na mtoto wa marehemu Chacha Wangwe ambaye ni Bob Chacha Wangwe.

Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Jaji Ngwala amebatilisha vifungu viwili vya Katiba cha 7 (1) ambapo kinaeleza kuwa 'Kila Mkurugenzi wa Jiji na Halmashauri wanakuwa wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu
 
13 June 2023

Bob Chacha Wangwe atoa maoni kufuatia Hukumu ya Mahakama ya Afrika

Kufuatia Mahakama ya Afrika iliyo na makao yake makuu jijini Arusha nchini Tanzania kuamuru kubadilishwa kwa sheria inayowapa mamlaka ma-DED kuwa wasimamizi wa uchaguzi chaguzi za nchini Tanzania , kituo cha televisheni cha Azam tumefanya mahojiano maalum na mwanasheria Bob Chacha Wangwe kwa ajili ya kupata maoni yake.
 
Utekelezaji ndiyo itakuwa shida maana hiyo mahakama haina meno, pia Jaji wa Mahakama ya rufaa anakuwa mjinga kiasi kile anabariki MaDED kusimamia uchaguzi kwa kigezo cha kiapo? pumbafu kabisa
Tumboooo
 
Mahakama gani hii wala sio ghorofa!
 
Mchezo upo kwenye bold 👇
“Kufuatia maelekezo hayo mahakama hiyo imeielekeza Serikali ndani miezi 12 kupeleka ripoti ya utekelezaji wa uamuzi huo.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…