Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Labda angukua Putin wa chato.
 
Alafu watu wake wapo pamoja na Putin Kwa Sababu sio kwamba Putin anajifanyia Tu Mambo.
 
Umeacha wapi akili mkuu?
March 2024 uchaguzi mkuu Russia
Asilimia 90 ya warusi wanamuunga mkono Putin ebu tumia Akili hata kidogo.
Sio kweli vijana ambao ndio asilimia kubwa ya population hawataki vita wao na mama zao ambao ndio population kubwa ya Russia

Wanawake na vijana. vikongwe vizee vya communist era ambavyo ni vichache ndio vinaunga mkono hiyo vita
Hata nchi zetu vikongwe vya enzi za ujamaa wa Nyerere ndivyo vinamshabikia Putin
 
Kwa Sasa nasimama na Vladimir Putin. Siwezi kuwaunga mkono Mabeberu waliotutawala na kuiba Rasilimali zetu Kwa Karne nzima.
Nchi za magharibi ni wahuni na wauaji wakubwa Wa binadam hasa waafrika.

Hakuna Paka atakayethubutu kumkamata Rais Wa Urus. Putin Ana akili kubwa na anapigajia Taifa lake lisihujumiwe na kikundi Cha mashoga Wa nchi za magharibi.

Vita yoyote kati ya Mashariki na magharibi hakika magharibi watapigwa vibaya mno na hawataonekana Tena katika Ulimwengu Wa kiuchumi na kisiasa za Dunia.

Mungu hayupo Tena na nchi za magharibi.
Mashariki wamekua ni waungwana Hata Kwa matendo na wamesimama na kanuni za asili . Maovu waliyofanyia wazungu Kwa Ulimwengu Sasa Mwisho wake umewadia.
 
🤣🤣🤣🤣🤣,Kanywe maji ulale kijana!
Haya mambo yamekuzidi uwezo!
 
Labda angukua Putin wa chato.
Stay tuned

Mimi vita ilipoanza tu day one nilisema Putin kakosea kuvamia wayahudi wa Ukraine. kitachomkuta mrusi atajuta kuanzisha hiyo VITA kuwa hakushauriwa vizuri.

Nilizomewa humu hadi nyuzi zangu zingine zilifutwa

Kiko wapi Mwaka wa Pili Urusi yuko vitani kachoka mbaya
Stay tuned utaona kitakachomkuta Putin
 
Acha uongo
 
Alafu watu wake wapo pamoja na Putin Kwa Sababu sio kwamba Putin anajifanyia Tu Mambo.
Kuhusu watu wake siwezi kataa wala kubali. Binadamu ni kiumbe complicated sana. Leo mpo pamoja kesho ni adui yako. Inawezekana leo upo sahihi ila hatujui kama kesho usahihi utaendelea kuwepo.
 
Kuhusu watu wake siwezi kataa wala kubali. Binadamu ni kiumbe complicated sana. Leo mpo pamoja kesho ni adui yako. Inawezekana leo upo sahihi ila hatujui kama kesho usahihi utaendelea kuwepo.
Wazungu anaweka maslahi ya nchi mbele kila mara.
 
Mchambuzi wa mambo ya kivita. [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…