The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 242
- 486
Kwa sababu ni muislamu mwenzako halafu anafanya kazi kwenye chombo cha habari pendwa kwa waislamu na wanaosupport itikadi kaliza kidini kwa hiyo haishangaziSiyo tu reference, namkubali mnoooo! Akiwa anaongea naacha kila kitu namsikiliza.
Yaani Marwan Bashara naye unamfanya kama reference mtu mwenye chuki na wasiyo kuwa waislamu?
Hakuna cha haki wala nini ni ushabiki wa kidini tu
hakuna anayekupangia, unafaa kumsikiliza kwa sababu akili zenu zinafanana.
Gaidi kwako, kwangu ndiye mchambuzi bora wa siasa za Kimataifa.
Namkubali na kumheshimu sana.
Sadiki KhanMwanasheria gani huyo mku
Hapa Tanzania kuna wafiwa wa ndugu zao waliouwawa na HamasiKila siku nalia machozi ninavyowaona watoto wanavyoteseka huko Gaza!
Mjinga yule!Yule mwasheria muislamu wa ICC atakutana na jambo soon
USSR
Benyamini anatakiwa akanyee ndooWakuu,
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa kuwakamata Netanyahu na Gallant watakapokanyaga katika maeneo yao.
Soma pia: Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe
Mahakama hiyo pia ilidai kuwa walikusudia na walijua kwamba Netanyahu na Gallav waliwanyima raia wa Gaza chakula, maji, dawa, vifaa vya matibabu, mafuta, na umeme kwa makusudi.
Netanyahu alikataa madai hayo akiyaita “ya kipuuzi na ya uwongo” na akasema ni “upotoshaji.”
Israel pia imepinga mamlaka ya ICC kwa kusema kuwa nchi nyingine za kidemokrasia hazijawahi kutendewa kwa njia ya upendeleo mbaya kama hiyo, huku ikisisitiza kwamba inaheshimu utawala wa sheria.
Aidha, ICC pia imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa Hamas, Mohammed Deif, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Hata hivyo, Israel ilidai Agosti kwamba ilimuua Deif katika shambulio la anga lililofanyika Gaza mwezi mmoja kabla.
Na bado utalia sana tu. Ni kwann hukulia kipind hamas wanateka raia wa israel including mtanzania?Kila siku nalia machozi ninavyowaona watoto wanavyoteseka huko Gaza!
Alishakataa habari za mateka ,hadi Biden alitoa ceasefire plan ambayo ingeachia mateka wote, jamaa akaikataa, akatoa visababu vya kitoto ,hadi wananchi wake waliandamana kama unafuatilia international news, acha tu aishi kama kibaka, ndio maana waziri wake wa vita gantz alimtema mapema alishaona huyu ni mbinafsi na hajali kuhusu waisraelMateka wako wapi?
Anaachaje vita huku magaidi bado wana mateka wa Kiyahudi
Hawa wapo tayari kumkamata ikiwemo european union sio mazombi kama weweHiyo hati watajikamata wenyewe.
Yuko UingerezaYeye yupo Qatar .anabwabwaja kule
Kwa kosa gani?! Kulinda nchi yake dhidi ya kitisho dhidi ya ugaidi?Bibi likamatwe tu likatolewe mavi korokoroni
Dharau na kejeli kwa watu wanaopingana na wewe pamoja na wenzio tumezizoea na hazifichi ukweli kwamba Myahudi is not done na magaidi kabisa.Inaonyesha mweupe sana kwenye anga za kimataifa ,trump huwa hataki vita ,na katika historia ya marekani yeye ndio aliondoa wanajeshi wa marekani afghanistan na kwingineko middle east,
Akiingia trump hakutokuwa na vita ukraine wala gaza na netanyahu analijua hilo
Mpaka Hamas naagaidienzao yaoshe kwanzaBenyamini anatakiwa akanyee ndoo
Vipenzi vya Allah havina tofauti na Allah, uwezo wa kufikiri ni finyu kama wa Allah.Ndio naangalia hapa live kupitia Al Jazeera, mtaalamu wa siasa Marwan Bishara anasema hili ni jambo kubwa, ni siku njema kwa wapenda haki.
Hawa wazayuni sio wakristo mzee wao nijino kwajinoSasa mchungaji yesu si aliwaambia mtu akikupiga Kofi shavu la kushoto
We mgeuzie na lakulia ,,
Mbona hamfati maandiko ya kitabu chenu .,