Yeye mwenyewe mzee makamba tayari keshabatizwa kwa moto. Yule mwingine wa kunuka kesha anza kuwanukia.Anabatiza kwa Moto tuliambiwa na mzee makamba
Hakuna shida, kama Mbowe ni mzee wa deal lazima atakua na reference ndio mimi nimemuuliza atupe uzoefu wa hizo deals!Akikurudishia tusi itakuwaje??!!
He was a kind of political food seekers when food went the way oposite his expectation now he call it nosense.Unasema hufatilii siasa eti you are here just for "funny" (its "fun" by the way). This thing is beyond your "funny". This is for the sake of the nation man. The future generations, democracy man. Do you comprehend anything?
Kinachofuata ni kupitia baadhi ya kesi zinazofanana na kesi hiyo pamoja na kutafsiri sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Milele aminaTumsifu yesu kristoo
Soma vizuri uzi baba usiwe na jazbaSijawahi kuisifia mahakama mimi. Hebu leta ushahidi hapa kuthibitisha kauli yako.
Sasa kama huyo RC ni mwanamke akisikia wenzake wanakutana hapo naye si atataka ajumuike nao? Sema labda tu yeye si mwanaBAWACHA!Umevaa kama RC si wa dar wakati Analilia kuingia kwenye mkutano wa BAWACHA?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂I swear nipo tayari kuvaa bomb 💣 kwa malipo Maalum,
Hii siasa hata mimi imeniathiri sana awamu hii
Sasa Kama ni hivyo kwanini usimuulize kwa lugha hiyo?! Kwanini umemuingiza mama yake kwenye hoja hii?! Nakushauri umuombe radhi huyo jamaa kuonesha uungwana wako...Hakuna shida, kama Mbowe ni mzee wa deal lazima atakua na reference ndio mimi nimemuuliza atupe uzoefu wa hizo deals!
Siwezi kukushangaa bali nakusikitiaMshiko wa ruzuku, michango ya wahisani na wanachama anaoupata Mbowe ni hela ndefu kuliko biashara alizowahi kufanya! Mbowe yuko kibiashara nyie mnadhani ni mwanasiasa! Kwa asili yake ya uroho wa hela yuko tayari kwa lolote ili mradi anapiga mkwanja mrefu! Nyie mko hapa sijui anaonewa! Yeye kimoyomoyo anawacheka! Kalaghabao!
Sina jazba mkuu. Nimekutaka ueleze wapi na lini niliisifia mahakama.Soma vizuri uzi baba usiwe na jazba za kitoto.
Hukumu ww ndio huijui, ila sisi tunajua hukumu jiwe ameshaiandika, hapo mahakamani kampa tu kada wa ccm aisome.
Mnashobokea Marekani wakati hamuijui vizuri Marekani! Marekani kuna jera nyingi kuliko jumla ya nyumba za kuabudia! Ukizingua tu Marekani unaswekwa jera na uruhusiwi kuajiriwa!
Kuna watu wataenda the hegue uholanziKukata gogo kwenye ndoo hakuepukiki kwa DJ wa Ufipa.
Kuna watu wanazingua, ukitia tu kakoment kako hao wametia timu halafu siyo mara moja wala mara mbili halafu wanakuja in an offending manner hata kama comment yako ilikuwa tu fair! Kisa umetofautiana nao mtazamo!