Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Unasema hufatilii siasa eti you are here just for "funny" (its "fun" by the way). This thing is beyond your "funny". This is for the sake of the nation man. The future generations, democracy man. Do you comprehend anything?
He was a kind of political food seekers when food went the way oposite his expectation now he call it nosense.
 
Kinachofuata ni kupitia baadhi ya kesi zinazofanana na kesi hiyo pamoja na kutafsiri sheria

Sent using Jamii Forums mobile app

Asipoteze muda awafunge kama alivyoagizwa, tena akiona atachelewa kuwa jaji, atoe hukumu wakapigwe risasi hapo uwanja wa taifa. Na ili inoge vizuri wawaite wale waliowatuma kwa Tundu Lissu.
 
Iko hivi,
Hawa watu wangekuwa wana kesi ya kuwatia hatiani hukumu isingesomwa jion, maana Bavicha watasumbua. Hapa ni dhahiri kabisa kusomwa jion hii hawana kosa.
 
I swear nipo tayari kuvaa bomb 💣 kwa malipo Maalum,
Hii siasa hata mimi imeniathiri sana awamu hii
😂😂😂

Umekosa wa kutishia nyau Mkuu...

Nah this Era kabisaaaaa...

Imekuathiri kuliko yule binti aliyekuibia..??

Better join me kwenye upenzi mtizamaji.
 
Hakuna shida, kama Mbowe ni mzee wa deal lazima atakua na reference ndio mimi nimemuuliza atupe uzoefu wa hizo deals!
Sasa Kama ni hivyo kwanini usimuulize kwa lugha hiyo?! Kwanini umemuingiza mama yake kwenye hoja hii?! Nakushauri umuombe radhi huyo jamaa kuonesha uungwana wako...
 
Wawafunge tu ila hawataweza kufunga roho za chuki za mamilion ya wapenda democracy!! Hata wakiwamaliza chadema kutatokea upinzani ndani yao haijawahi tokea nchi kukawa na mawazo ya kufanana hata siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshiko wa ruzuku, michango ya wahisani na wanachama anaoupata Mbowe ni hela ndefu kuliko biashara alizowahi kufanya! Mbowe yuko kibiashara nyie mnadhani ni mwanasiasa! Kwa asili yake ya uroho wa hela yuko tayari kwa lolote ili mradi anapiga mkwanja mrefu! Nyie mko hapa sijui anaonewa! Yeye kimoyomoyo anawacheka! Kalaghabao!
Siwezi kukushangaa bali nakusikitia
Changamoto za kutojitambua ndio kama hizi.mwambie pepo mchafu aliyekuingilia ashindwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukumu ww ndio huijui, ila sisi tunajua hukumu jiwe ameshaiandika, hapo mahakamani kampa tu kada wa ccm aisome.

Go & assist Mwenyekiti wenu, hali yake sio nzuri kwa kweli, nendeni kwa wingi Kisutu acheni kukaa huku na makelele hamtamsaidia, atleast mkalie pamoja pale..
 
Mnashobokea Marekani wakati hamuijui vizuri Marekani! Marekani kuna jera nyingi kuliko jumla ya nyumba za kuabudia! Ukizingua tu Marekani unaswekwa jera na uruhusiwi kuajiriwa!

Hata kama kungekuwa na jela nyingi kama mchanga hakuna anayejali, bali ni watu wafungwe kwa haki sio kwa amri ya rais kisa ana ulevi wa madaraka.
 
Kutoka kwaPatrick Ole Sosopi

#Hukumu_Kesi_Mbowe_Na_Wenzake
Mhe. Hakimu Thomas Simba amekubaliana na upande wa Jamhuri kwamba makosa kumi na mbili kuanzia kosa namba 2-13/13 yameweza kudhibitishwa Pasi na Shaka kwamba wameweza kutenda makosa hayo Washitakiwa wote 9 na kuwaondolea kosa moja.

Hukumu inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom