Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Uliacha lakini unakuja for Funny? Wewe ndio mpuuzi kuliko hata siasa yenyewe. Uliacha siasa lakini unaifatilia kupata furaha ya siasa. Kweli wokengela So akadyanyoko ubhona.
Naona mnapokezana, angalia wenzako walionusa walichokipata halafu rudi unieleze kama unataka tuendelea au tuishie hapa maadam Pythagoras.
 
Kutoka ukurasa wa Hilda Newton
Mahakama ya kisutu imewatia hatiani @freemanmbowetz na Viongozi wenzake ambao walikuwa wanakabiliwa na mashitaka 13 katika Mahakama hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.

Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji ingawa halikuwa shtaka la msingi hivyo halitajadiliwa na mahakama hiyo!

Hakimu Simba amesema washtakiwa hao wanashtahili adhabu kali kutokana na makosa waliyotenda. Hii ni baada ya Peter Kibatala kuomba walipe faini badala ya kufungwa jela.
 
Go & assist Mwenyekiti wenu, hali yake sio nzuri kwa kweli, nendeni kwa wingi Kisutu acheni kukaa huku na makelele hamtamsaidia, atleast mkalie pamoja pale..

Yaani unavyoongea inakuwa kama akina Mbowe wanaogopa kufungwa ile mbaya. Huko jela hajawahi kwenda mara moja. Jela ni sehemu kama sehemu nyingine, isipokuwa unakuwa chini ya amri ya mtu.

Macheckbob na mafisadi kama nyie ndio huwa mnaogopa jela kutokana na stori za kutishwa mnazopigiwa. Nilikuwa nikisikia story za jela nilikuwa naogopa ile mbaya, nilivyoenda ndio nikajua ni story za kutishwa.

Huko jela nilikuwa poa tu na washkaji kibao tena wenye uelewa mkubwa tu. Nilichokosa ni uhuru wa kufuatilia mambo yangu mimi binafsi, lakini nilikuwa natoa maagizo kwa wife na mambo yalikuwa poa tu.
 
Watawala wenye maono watafuta kesi hii...kwasabb kuna kila ushahidi kwamba watu wengi wanahasira kwa mwenendo wa kesi hii...mbinu ya kisiasa ni eidha watu wapate utulivu au watulie huku wanachuki nawe!!

Busara hapa politically ni kuminimize hasira za wananchi..huku mtaani watu wanahsr nimejaribu kupita MAKUNDI mbalimbali wanamtazamo hasi.

Mahakimu wasmamie ukwl Bila kusmamiwa na mtu au tasis! Tanzania inahtaji Amani ya ukwl na sio utulivu wa kunyamazishwa!!Mungu barki nchi hii na watu wake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape: unajua huyu ni mshamba sana.
Kinana; nape.. sio mshamba tu ni amechanganyikiwa.
halafu unajua (ganda la ndizi jalalani) ndio hawahawa walihesabu matokeao ya kura 2015, wakapambana na wenzao wapinzani walivyokuwa wakiendelea kuhesabu
lakini wote hawapo barabarani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…