kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Naona mnapokezana, angalia wenzako walionusa walichokipata halafu rudi unieleze kama unataka tuendelea au tuishie hapa maadam Pythagoras.Uliacha lakini unakuja for Funny? Wewe ndio mpuuzi kuliko hata siasa yenyewe. Uliacha siasa lakini unaifatilia kupata furaha ya siasa. Kweli wokengela So akadyanyoko ubhona.