Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

halafu unajua (ganda la ndizi jalalani) ndio hawahawa walihesabu matokeao ya kura 2015, wakapambana na wenzao wapinzani walivyokuwa wakiendelea kuhesabu
lakini wote hawapo barabarani tena
View attachment 1383191
Daaaah.. hii picha imenitafakarisha jamaa anadhani kashushwa kumbe kuna watu wamempigania nia, nadhani hata kuomba kwao misamaha ni kishingo upande.
 
Kama unafikiri kuna mwanasiasa hata wa CCM ambaye kipaumbele chake ni maslahi yako wewe umechelewa sana,tena nakupa pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutiwa hatian sio kufungwa, lazima wataambia kuhusu faini wewe unafikil dk mashinji naye afungwe kitu kama hicho akipo
 
GOD HAVE MERCY RISASI WAPIGE WENGI KUFUNGWA, WAFUNGWE WENGINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…