Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Unatoa maagizo kwa wife afwanyweje wakati wewe huko jera kwa mfano! Atulie wakati atoa huduma au?

Kwa taarifa yako, sio wife wangu wala wako, wote wanaliwa hata ukiwa huku uraiani. Mimi binafsi nimetembea na wake za watu zaidi ya 15, na nusu ya hao waume zao wanajimudu kimaisha. Yaani suala la kuliwa kwa mwanamke ni given, regadless uko jela, uraiani au umekufa.
 
Maagizo ya CCM ndiyo yaliyomuua akwilina...watanzania wote tunajua.

Kuna mtu anafikiri ataua siasa za upinzani nchini kwa kuwafunga wanasiasa!! Amebugi.

Damu ya Akwilina haitoruhusu uonevu utamalaki... Inatosha!
Huyo jaji au hakimu asipotenda haki ataangaishwa maisha yake yote...
 
Kwa hiyo technically wanaachiwa Kwa kuwa halikuwa shtaka la msingi...anyway Mimi ni layman kwenye Sheria
 
Hakimu anatetemeka sana. Hukumu itakuwa ameandikiwa huyo.
Kuna hatari John Heche kula mvua na mwenyekiti wake. Ndege zimeshaandaliwa watawanye kwenye magereza mbalimbali.

Dar,Mwanzaz Dodoma na Mbeya .
 
Wakili Kibatala amemwomba Hakimu kutoa hukumu ya washtakiwa walipe faini badala ya kuwapa adhabu ya kifungo baada ya washtakiwa wote kukutwa na Hatia kwenye makosa 12 kati Ya makosa 13 yaliyokuwa yanawakabili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepigwa nyundo ngapi behind barz ili tujue kabisa kama uchaguzi wanatimba au wanatimbilio
 
Wakili kibatala kuomba aina ya hukumu kwa wateja wake, haoni kwamba anampa nguvu jaji ya kutoa hukumu inayostahili?
 
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani na viongozi wenziwe makamanda wa CHADEMA wakiwa wamefika kusikiliza hukumu dhidi yao ktk kesi ambayo Waendesha Mashtaka wa upande wa serikali wanadai kuwa viongozi wa upinzani walisababisha uchochezi

 
"Kwa kweli mashtaka waliyoyafanya washtakiwa hawa ni mabaya sana hivyo washtakiwa hawa wanastahili adhabu kali" amesema Hakimu Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…